mng'ato
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 29,200
- 49,076
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alijaribu na yeye ilikuwa kama Hamisa hakufika mbali.
Lakini angalia kipindi zari anaimba tayari ana migari yake na nyumba na anakwambia aliimba kujaribu tu just for fun na akaenda mpaka chanel O. Sasa huyu mdogo wako naye?Alijaribu na yeye ilikuwa kama Hamisa hakufika mbali.
Sauti hata haielewekiLakini angalia kipindi zari anaimba tayari ana migari yake na nyumba na anakwambia aliimba kujaribu tu just for fun na akaenda mpaka chanel O. Sasa huyu mdogo wako naye?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Lakini angalia kipindi zari anaimba tayari ana migari yake na nyumba na anakwambia aliimba kujaribu tu just for fun na akaenda mpaka chanel O. Sasa huyu mdogo wako naye?
Sky anasema hamisa anapita mule mule kwa zari kama anafuata nyayo za zari. Mimi nashangaaa hizo nyayo zinakwendaje [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ushabiki bwana[emoji134] kwahiyo hapa shida sio kipaji bali utajiri wa magari na nyumba.[emoji848][emoji848]
Kwahiyo siku hizi kila mtu muimbaji [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwani viatu vya Zari vimempwaya?Hamisa alikuwa anapita mule mule kwa Zari.
No wonder sijui huo wimbo.You tube utapata majibu ypte,kumbuka yule ni mganda kaimba kwa lugha yao huko
Zari lakini alishinda Hadi tuzo ya channel 0Alijaribu na yeye ilikuwa kama Hamisa hakufika mbali.
[emoji23][emoji23]ngoma hiyo hapo ilishinda tuzo ya channel 0 ya south Africa
Zari kipindi anaimba alitoboa Hadi kwenye tuzo mbalimbali alikuwa nomineeLakini angalia kipindi zari anaimba tayari ana migari yake na nyumba na anakwambia aliimba kujaribu tu just for fun na akaenda mpaka chanel O. Sasa huyu mdogo wako naye?
Ile nyimbo ilikuwa ni kwa ajili ya kuombea viza ya US