Hamisa Mobetto achana na kuimba, kipaji hicho huna!

Hamisa Mobetto achana na kuimba, kipaji hicho huna!

Lakini angalia kipindi zari anaimba tayari ana migari yake na nyumba na anakwambia aliimba kujaribu tu just for fun na akaenda mpaka chanel O. Sasa huyu mdogo wako naye?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ushabiki bwana[emoji134] kwahiyo hapa shida sio kipaji bali utajiri wa magari na nyumba.[emoji848][emoji848]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ushabiki bwana[emoji134] kwahiyo hapa shida sio kipaji bali utajiri wa magari na nyumba.[emoji848][emoji848]
Sky anasema hamisa anapita mule mule kwa zari kama anafuata nyayo za zari. Mimi nashangaaa hizo nyayo zinakwendaje [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Mi sidhani kama ni kumtendea haki. Dunia ya sasa ni kucheza na fursa tu, huyo mama ameweza kutumia fursa iliyotengenezwa na huo umaarufu wake. So, hajaiba cha mtu, anapiga hela kuna shida gani? Mfano mwingine ni Piere Liquid, tulimcheka, leo anatafutwa na makampuni ya pombe atangaze kilaji.

Kama kuna mtu anaona kazi mbovu si aache kusikiliza? Aidha, kwamba anabania wengine, si ndiyo ushindani huo? Yani mtu asitafute riziki halali kwa kumuonea mwingine huruma? Wewe msanii unaejiona wa ukweli tunga na imba hizo nzuri ili ufunike wote hao wasiojua.

Wakidanga shida, wakitafuta vyao shida. Yani tumejaa nongwa kama busha, ukiliweka kwa nyuma tabu, katikati tabu ,mbele tabu!
 
Lakini angalia kipindi zari anaimba tayari ana migari yake na nyumba na anakwambia aliimba kujaribu tu just for fun na akaenda mpaka chanel O. Sasa huyu mdogo wako naye?
Zari kipindi anaimba alitoboa Hadi kwenye tuzo mbalimbali alikuwa nominee

[emoji23][emoji23][emoji23]Kula ngoma hiyo inaitwa "toloba" thttps://youtu.be/cIGopSOPmEk

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ile nyimbo ilikuwa ni kwa ajili ya kuombea viza ya US

hakuna kitu rahisi kupata viza ya usa..kama ukiwa mwanamuziki au mtu wa comedy... wanakupa fasta..

ila nenda na ma degree yako na hela huna uone kama watakuelewa...

ile nyimbo imempa viza fasta
 
imekuwa kama fashion sasa alianza aunt ezekiel akaja jokate, wema alijaribu ilikua bado kidogo aende studio akaacha, sasa ni zamu ya mobeto
 
Back
Top Bottom