mwakimonya
Member
- Feb 21, 2017
- 11
- 14
Kuku akinya chooni sio kama ana akili bali alienda kutafuta chakulaNani ana namba ya Hamissa Mobetto au mama Dylan kama anavyoitwa na Nasib Abdul, mpigieni mwambie tunajua maisha ya mtanzania yamekuwa magumu sana sema aache kuvamia kazi za watu.
Maana anachoimba ni jina lake tu ndo linafanya watu wasikilize bila hvo nazani ni trash music ambao haustahili hata yeye mwenywe kuusikiliza.
Mwambieni awaachie wenye fani zao maana kulala na msanii hakukufanyi na ww ujue kuimba aiseeh. Anaharibu carrier za watu wanashindwa kupata air time kwaajili ya uchafu wao
mjanja hamisa.. anajijua ana fans wengi.. so anaimba anazingua ila youtube anapata viewers na anapata hela...
so msishangae na vinyimbo vyake vya kipuuz akawa anapata mshahara wa mtu
Naona baby dady wake kakinukisha na side chick. Full tafrani [emoji23] [emoji23]Masharti ya mganga
Naona baby dady wake kakinukisha na side chick. Full tafrani [emoji23] [emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo siku hizi kila mtu muimbaji [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kiki ile. Kuna wimbo wa tazani unakaribia kutoka
Unamaanisha hamisa anaiga maisha ya zari?Hamisa alikuwa anapita mule mule kwa Zari.
Mmmh kumbe yule dada nae ni muimbaji[emoji15]Kiki ile. Kuna wimbo wa tazani unakaribia kutoka
Hamisa alikuwa anapita mule mule kwa Zari.