Hamisa Mobetto ajifungua mtoto wa kiume

PROF NDUMILAKUWILI

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2016
Posts
10,518
Reaction score
13,144
Mrembo Hamisa Mobetto ajifungua mtoto wa kiume.

Hii picha alipiga kipindi cha ujauzito[emoji116]

Hii ndio picha ya mtoto aliejifungua[emoji116]

Nb: Hongera zake kwa kupata mtoto na kama hizi tetesi za kwamba ni mtoto wa Diamond zina ukweli basi huyu mtoto kazaliwa mwezi mmoja na dada yake Tiffa.

-Ndumilakuwili-
 
hongera diamond kwa kupata mbegu yako halishi ambayo haijachakachuliwa hata unywele
 
Hongera so mtoto wa ni wa nani ?
 
Huyo mtoto akikua akomae asije kuwa shoga
 
Mange alusha yasema haya wiki iliyopita kuwa mtoto ni wa Diamond na bi Sandra anafahamu lakini kwa kuwa wana business interests nz Zari bible atauweka wapi uso katika aibu hii ilubidi aka tae kwenye media lakini usiku anataka kwa Hamisa kwenye nyumba aliyopangishiwa na Majizzo
 
Mangeee sasa hy post ya huyo mtoto nmecheka htr yule dada kiboko

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…