PROF NDUMILAKUWILI
JF-Expert Member
- Mar 25, 2016
- 10,518
- 13,144
Mrembo Hamisa Mobetto ajifungua mtoto wa kiume.
Hii picha alipiga kipindi cha ujauzito[emoji116]
Hii ndio picha ya mtoto aliejifungua[emoji116]
Nb: Hongera zake kwa kupata mtoto na kama hizi tetesi za kwamba ni mtoto wa Diamond zina ukweli basi huyu mtoto kazaliwa mwezi mmoja na dada yake Tiffa.
-Ndumilakuwili-