Nimeongea watoto wa public na wa private life it's not acceptable
Hili nalo ni neno mkuu, steel bado nipo Dar wallahNajiuliza wabongo wanavyoshupalia mambo yqbkawaida km haya dah
Ninachojivunia niko mjini hata Leo pamoja na kwamba baba jescaer alisema mwezi as saba tutakimbia
Sent using Jamii Forums mobile app
Mambo ya kuzaa mabeto na dai wala hayanisaidii chchte
Usingle maza mbaya Sana,MDADA MREMBO LAKINI ANAZAA NA BABA WA KUMFICHA.
HAMISA, HV KWELI AMESHNDWA KUJITAMBUA KUWA NI MZURI.. HASTAHLI KUWA SINGLE MOTHER
KWANINI ASINGEKUWA NA MWANAUME ANAYEELEWEKA, WAKAFUNGA NDOA WAKAZAA
NDOA INA HESHMA YAKE.
Kwani ana maisha gani ya kumwongopesha mtu?Dah huyu bibi dada kwao ni mwanza mjini mitaa ya mabatini aseeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee nakumbuka nilipokuwa darasa la 7 nilkuwaga namuona na sketi za sekondari aseeeeeeeeee kumbe maisha ni hapa hapa na namna unavyo make your life.
[emoji106]MDADA MREMBO LAKINI ANAZAA NA BABA WA KUMFICHA.
HAMISA, HV KWELI AMESHNDWA KUJITAMBUA KUWA NI MZURI.. HASTAHLI KUWA SINGLE MOTHER
KWANINI ASINGEKUWA NA MWANAUME ANAYEELEWEKA, WAKAFUNGA NDOA WAKAZAA
NDOA INA HESHMA YAKE.
Halaf wenginr hawachelewi kujifungua aisee
Kabisa...nothing new...nothing special in this world. Bora kuzaa kuliko kufanya wanavyofanya majuha kutoa watotoAlafu km ni mtt wa diamond haina haja ya kuogopa kitanda hakizai haramu
mchana toch ,usiku magogo tufanyaje?
HajaahahahaAlafu km ni mtt wa diamond haina haja ya kuogopa kitanda hakizai haramu
mchana toch ,usiku magogo tufanyaje?
Hongera Hamisa [HASHTAG]#mwanamkekuzaa[/HASHTAG] kama ilivyo [HASHTAG]#mwanaumemashine[/HASHTAG]! wangu yupo njiani!! hahaha