Hamisa Mobetto ajifungua mtoto wa kiume

Hamisa Mobetto ajifungua mtoto wa kiume

Najiuliza wabongo wanavyoshupalia mambo yqbkawaida km haya dah

Ninachojivunia niko mjini hata Leo pamoja na kwamba baba jescaer alisema mwezi as saba tutakimbia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Hivi huwaga hawawezi kusubiri angalao mwezi mmoja ukapita ili waanze kuvipiga picha vichanga wao?mtoto hata hajaijua sauti ya mama yake tayari kishaanza kula mionzi ya simu....what for!!!na hii tabia wabongo wengi sana wameiiga tujifunze kuwa na subira.

sent from Kibiti with Nokia3310 using Jf app
 
Dah huyu bibi dada kwao ni mwanza mjini mitaa ya mabatini aseeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee nakumbuka nilipokuwa darasa la 7 nilkuwaga namuona na sketi za sekondari aseeeeeeeeee kumbe maisha ni hapa hapa na namna unavyo make your life.
 
MDADA MREMBO LAKINI ANAZAA NA BABA WA KUMFICHA.

HAMISA, HV KWELI AMESHNDWA KUJITAMBUA KUWA NI MZURI.. HASTAHLI KUWA SINGLE MOTHER

KWANINI ASINGEKUWA NA MWANAUME ANAYEELEWEKA, WAKAFUNGA NDOA WAKAZAA

NDOA INA HESHMA YAKE.
 
Hii ndo pointi mkuu,

Usingle maza mbaya Sana,
ILA it's up to yeye atajijua na maisha yake
 
Dah huyu bibi dada kwao ni mwanza mjini mitaa ya mabatini aseeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee nakumbuka nilipokuwa darasa la 7 nilkuwaga namuona na sketi za sekondari aseeeeeeeeee kumbe maisha ni hapa hapa na namna unavyo make your life.
Kwani ana maisha gani ya kumwongopesha mtu?
 
MDADA MREMBO LAKINI ANAZAA NA BABA WA KUMFICHA.

HAMISA, HV KWELI AMESHNDWA KUJITAMBUA KUWA NI MZURI.. HASTAHLI KUWA SINGLE MOTHER

KWANINI ASINGEKUWA NA MWANAUME ANAYEELEWEKA, WAKAFUNGA NDOA WAKAZAA

NDOA INA HESHMA YAKE.
[emoji106]

-Ndumilakuwili-
 
Hongera Hamisa [HASHTAG]#mwanamkekuzaa[/HASHTAG] kama ilivyo [HASHTAG]#mwanaumemashine[/HASHTAG]! wangu yupo njiani!! hahaha
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom