The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 2,186
- 4,940
Eti akina Endrick, Brahim Diaz, Asencio, Garcia ndio wafanye comeback ya kibabe UEFA! Real Madrid waingie sokoni wachukue watu wa kazi, la sivyo msimu ujao watadhalilishwa hadi na akina Nottingham Forest.Hii Madrid imetutia aibu kweli, nimewakumbuka kina RAMOS na PEPE ukuta wao walikuwa Chuma. Kila nikikaa nawaza hutu tuvulana tulikojazana hapo Bernabeu tunakazi gani. Msimu huu tutatoka kapa.
Si bebi Wake jamani anamtakia mafanikio mazuriKinataka hela tu. Hebu kiache kimbelembele Yanga hatuna mpango huo
Aisee umenikumbusha kitu mwamba kale kanchi kaispanyolo kana bonge za pisi ,mbususu za maana zinapenda Serengeti boys na Ile mikuyenge ya pale Gambia .real Madrid ndo basi tena lambda msimu ujao waanzishe real Madrid women FC kuwasidia akina endrickHii Madrid imetutia aibu kweli, nimewakumbuka kina RAMOS na PEPE ukuta wao walikuwa Chuma. Kila nikikaa nawaza hutu tuvulana tulikojazana hapo Bernabeu tunakazi gani. Msimu huu tutatoka kapa.
Aziz alimuona wakeMke mwema hutoka kwa Bwana Mungu...
Mke mwema nani awezaye kumwona?
Mwambie anceloti anaondoka Mwezi huu Madrid... labdah amfuate Brazil
Wanaotaka awe kama yule wa Manara anaitwa sijui Zalilisa kila wakati anamdhalilisha Haji kama lilivyo jina lakeSi bebi Wake jamani anamtakia mafanikio mazuri
Aziz kamwonaMke mwema hutoka kwa Bwana Mungu...
Mke mwema nani awezaye kumwona?