Hamisa Mobetto amtaka Ancelotti kumsaini Aziz Ki Real Madrid

Wamekula magimbi..πŸ˜‚
 
Hii Madrid imetutia aibu kweli, nimewakumbuka kina RAMOS na PEPE ukuta wao walikuwa Chuma. Kila nikikaa nawaza hutu tuvulana tulikojazana hapo Bernabeu tunakazi gani. Msimu huu tutatoka kapa.
 
Hii Madrid imetutia aibu kweli, nimewakumbuka kina RAMOS na PEPE ukuta wao walikuwa Chuma. Kila nikikaa nawaza hutu tuvulana tulikojazana hapo Bernabeu tunakazi gani. Msimu huu tutatoka kapa.
Eti akina Endrick, Brahim Diaz, Asencio, Garcia ndio wafanye comeback ya kibabe UEFA! Real Madrid waingie sokoni wachukue watu wa kazi, la sivyo msimu ujao watadhalilishwa hadi na akina Nottingham Forest.

Wazee wa kazi akina Alaba, Rudiger, Modric, Vasquez, Ceballos wameshajichokea zao.
 
Hii Madrid imetutia aibu kweli, nimewakumbuka kina RAMOS na PEPE ukuta wao walikuwa Chuma. Kila nikikaa nawaza hutu tuvulana tulikojazana hapo Bernabeu tunakazi gani. Msimu huu tutatoka kapa.
Aisee umenikumbusha kitu mwamba kale kanchi kaispanyolo kana bonge za pisi ,mbususu za maana zinapenda Serengeti boys na Ile mikuyenge ya pale Gambia .real Madrid ndo basi tena lambda msimu ujao waanzishe real Madrid women FC kuwasidia akina endrick
 
Missa km missa, πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…