my name is my name
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 2,016
- 2,397
Nyie wote mnajuwa kama hamisa mobetto ako na vipaji mingi. Anaimba mziki, model, anaigiza na vingine 😉 Sasa hamisa mobetto ameamua kuanza na career yake ya mpira wa miguu baada ya kufanikiwa kwa career zake nyingine. Yeye atakuwa kocha na mchezaji. Mko tayari kmuangalia hamisa akipiga chenga uwanjani?