Hamisa Mobetto ana anza career yake mpya ya kucheza mpira

Hamisa Mobetto ana anza career yake mpya ya kucheza mpira

Nyie wote mnajuwa kama hamisa mobetto ako na vipaji mingi. Anaimba mziki, model, anaigiza na vingine [emoji6] Sasa hamisa mobetto ameamua kuanza na career yake ya mpira wa miguu baada ya kufanikiwa kwa career zake nyingine. Yeye atakuwa kocha na mchezaji. Mko tayari kmuangalia hamisa akipiga chenga uwanjani?

View attachment 1130989
Hiyo sio picha ya Mobeto ni EDIT [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mbona hana zile HIPS za Instagram??
 
Back
Top Bottom