Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
Hebu kwanza niwaingilie, wale si ni waislamu? Kuna imani ngapi ndani ya uislamu?Hiyo ni Imani yako,inaguide maisha yako.
Imani ya Zari na Diamond ni kitu kingine.
Kila mtu anaendeshwa na misingi yake tofauti sio ya mtu mwingine.
Au ndio hiyo "misingi ya malezi"!!!!