Hamisa Mobetto atarajia kufungua Duka la nguo na urembo

Hiyo ni Imani yako,inaguide maisha yako.
Imani ya Zari na Diamond ni kitu kingine.
Kila mtu anaendeshwa na misingi yake tofauti sio ya mtu mwingine.
Hebu kwanza niwaingilie, wale si ni waislamu? Kuna imani ngapi ndani ya uislamu?

Au ndio hiyo "misingi ya malezi"!!!!
 
Kuzaa watu wanazaa kila siku. Drama walizotaka kuleta kisa amezaa ndio zinaleta vichekesho.

Amejifunza sasa[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Hebu kwanza niwaingilie, wale si ni waislamu? Kuna imani ngapi ndani ya uislamu?

Au ndio hiyo "misingi ya malezi"!!!!
Kuna ndoa aina tatu,
1.ya kidini
2.kimila
3.kiserikali...yani hizo zina vyeti kabsa afu kina ile ambayo haina cheti.
Inazaliwa kulingana na mahusiono ya wawili,yenye ushahidi wa jamii inayowazunguka,miaka miwili mfululizo hususan wakiishi pamoja under same roof.sasa hapa kuna zile elements za hio ndoa...bila kusahau tunda la watoto.
 
Kaweka boutique uchwara ili kupunguza maneno ya u gold digger wake kupitia watoto. Kwa uchumi huu wa anko magu hakunaga biashara ya mbwembwe hivyo eti inalisha familia yake hapo kasahau kutaja child suppprt na kodi ya nyumba anayopewa na majizo
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji14] poleeeee sana!kannue panadol basi walau upunguze maumivu
 
Hivi zari aliwafanya nini mbona mnamchukia sana? Support atapewa na side chicks wenzie. Yeah anaiga akili za watu modo my foot!
Lini uliwahi kunishuhudia nikimchukia zari!! Thibitisha.

Ungejibu kwanza swali langu bila kujump into conclussions. Hapa namtetea Misa maana uzi unamuhusu misa.
 
Hiyo ni Imani yako,inaguide maisha yako.
Imani ya Zari na Diamond ni kitu kingine.
Kila mtu anaendeshwa na misingi yake tofauti sio ya mtu mwingine.
Diamond alisema imani yake inaruhusu wanne upooo?!
 
Mie nna biashara my dia..uzur biashara nilianza kufanya tokea nikiwa mdogo kwa kweli nna base kubwa ya wateja kiasi kwamba wanazifuata wenyewe!haina haja ya kupiga mboyoyo...[emoji5]
Mbona hata hivyo matangazo ya biashara humu yamo kibao, au anataka tutangazeje!!
 
Opps nimekua hater tena!ayt nisiseme mengi..kweli watanunua waliozoea kupigwa bei.Tunaozifahamu zinapouzwa tutaenda.
Asante
Yani bora nikanunue imported yenye quality na bei rafiki au nkashoneshe kwa fundi Juma kuliko kununua nguo kwa bei ya kutupwa usawa wenyewe huu...mtumbani napata designer brand nzuri tu second hand kama mupyaa
 
Sawasawa!
Lakini Zari haachwi...
Ataziniwa tuuu si ndo starehe yake
Km aliziniwa miaka 15 na Ivan bado wengine waliokua wanamkojoza kwenye skype[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] aibuuuuu
Labda dai amsitiri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…