donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,128
- 21,885
Ameen dadaPongezi kwa Hamisa, angalau umeuonyesha ulimwengu kua wewe bado ni shupavu umesemwa sana! Unasemwa sana na bado utaendelea kusemwa wewe waonyeshe kwamba yanaingilia kushoto na kutokea kulia! Hiyo ndio sifa ya mwanamke shupavu
Numbisa acha tabia za kiswahili hizo lolMaskini yaan unataman ungekua na nyundo ya block kwa watu wasiokuunga mkono utufutilie mbali kwenye thread yako. Basi tu mods wabaya hawaaa wakuhurumie ka nafasi ka upendeleo utufukuze kabisa
Kuna ndoa aina tatu,
1.ya kidini
2.kimila
3.kiserikali...yani hizo zina vyeti kabsa afu kina ile ambayo haina cheti.
Inazaliwa kulingana na mahusiono ya wawili,yenye ushahidi wa jamii inayowazunguka,miaka miwili mfululizo hususan wakiishi pamoja under same roof.sasa hapa kuna zile elements za hio ndoa...bila kusahau tunda la watoto.
Wamekutana lini?sio lazima iwe january to december wapo wote madaleHapo bold Zari na Diamond hawajawahi.
Dada unaelewa maana ya "mfululizo" kweli?Wamekutana lini?sio lazima iwe january to december wapo wote madale
.
Asante kwa taarifaBeauty with brain!
Hongera dogo, Mungu akusimamie katika kazi za mikono yako.
Hamisa leo amepost kwenye ukurasa wake wa IG kuwa amekuwa akifanya biashara na watu ya kuuza nguo kwa miaka minne japo sie tulikua tunamdhihaki hana kazi, kazi yake ni kudanga mjini.
Kwa sasa ameamua kutumia jina lake mwenyewe katika kufanya biashara na litaitwa Mobetto boutique.
Nampa hongera zake sana sana sana na tutamsapoti. Mimi binafsi mwanamke akijishughulisha namkubali haswaaa na kama naweza namsapoti. Nitaanza tarehe 17 kwenda kuwatch move from first time after Kanumba's demise na nikijaaliwa nitaenda kununua hata gagulo au skin tight to show support kwake.
Na wale team roho mbaya mnakaribishwa pia kumuunga mkono kahamisa chenye 24yrs kilichoamua kujiongeza maana kejeli zenu, dharau zenu na dhihaka ndio zinamfanya abarikiwe.
Karibuni dukani wapendwa!!!
Hakuna ndoa inayokubalika mbele za Mungu zaidi ya inayofungwa kwa mujibu wa maelekezo yake.Hizo nyingine ni taratibu za kuishi na si ndoaHapo bold Zari na Diamond hawajawahi.
Thank yuu ntawakalia kimya kama anavyofanya mwenyewe hamisa mambo chini kwa chiniKwanza nakupongeza kwa pongezi kwa dada Hamisa.
Tusipokuwa makini maana ya teknolojia haitapatikana.
Si lazima usajili kwa maneno,hata kujaza kimya pia ni jibu bora zaidi.
Huu ndo ushauri murua ubarikiweNafikiri anaweza fika mbali kwa changamoto aliyokutana nayo.
Naomba atambue kuwa heshima yake ni kuheshimu utu wake.
Najisikia vibaya kwa namna mdogo wangu anavyofanya,kitendo cha kutokutoa nafasi ya Amisa kwa nia njema ya kujenga mahusiano ya ulezi ,hii haipendezi.
Hata kama hakuwatenga na nia ya kumbuka,alipaswa kama baba kuwa mpole na kumpa amani mwenza wake ktk kazi hii ya ulezi.
Atambue kuwa ni vibaya kumpa maumivu mama anayenyonyesha kwa kuwa maziwa ya mama ni zao la vichocheo vya mwili.
Kwa kina mama tutambue kuwa Mobeto alifuatwa na kushawishiwa,mwenye wa kulaumiwa ni yule aliyeahidi na kutotimiza.Hatuwezi jua aliambiwa nini wakati anashawishiwa.
Kama baba mwenye watoto wa kike ,napinga mwenendo huu wa kuwaharibu wasichana kwa hali yoyote ile.
Namkumbusha ndg yangu kuwa kwa Kila alichonacho ni Mali ya Mwenyezi,ajitafakari kwa tabia hii ya kufanya uchafu.
Mama Hamisa rudi kwa Mola wako,jiamini na simama kwa kumtegemea Mungu atakusaidia.
Jiepushe name marumbano,kaa kimya na Lea mtoto wako.
Muda utaongea
Sorry,,hivi wewe ndo hamisa? Mi natamanigi niwe na team siwezi mbona,, yani nimsemee mtu kama kanituma!!! ? Sijui zari Sijui wema sijui hamisa ,,daaah, nawapenda kuwafuatilia ila kuanza kumsemea mtu au kugombana na MTU kwaajili ya flani,,,mweee bado,,labda wazazi wangu na ndugu wa damu basiiiiVyovyote vile sisi tunafungua duka letu!
Wala usijali halafu hata simjui ujue!!halafu sina team nshaachanaga na huo ujinga wa team nampenda tu basi sipendi wanavyomkashifu yule ni mzazi kama MimiSorry,,hivi wewe ndo hamisa? Mi natamanigi niwe na team siwezi mbona,, yani nimsemee mtu kama kanituma!!! ? Sijui zari Sijui wema sijui hamisa ,,daaah, nawapenda kuwafuatilia ila kuanza kumsemea mtu au kugombana na MTU kwaajili ya flani,,,mweee bado,,labda wazazi wangu na ndugu wa damu basiiii