Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,378
- 56,047
Beauty with brain!
Hongera dogo, Mungu akusimamie katika kazi za mikono yako.
Hamisa leo amepost kwenye ukurasa wake wa IG kuwa amekuwa akifanya biashara na watu ya kuuza nguo kwa miaka minne japo sie tulikua tunamdhihaki hana kazi, kazi yake ni kudanga mjini.
Kwa sasa ameamua kutumia jina lake mwenyewe katika kufanya biashara na litaitwa Mobetto boutique.
Nampa hongera zake sana sana sana na tutamsapoti. Mimi binafsi mwanamke akijishughulisha namkubali haswaaa na kama naweza namsapoti. Nitaanza tarehe 17 kwenda kuwatch move from first time after Kanumba's demise na nikijaaliwa nitaenda kununua hata gagulo au skin tight to show support kwake.
Na wale team roho mbaya mnakaribishwa pia kumuunga mkono kahamisa chenye 24yrs kilichoamua kujiongeza maana kejeli zenu, dharau zenu na dhihaka ndio zinamfanya abarikiwe.
Karibuni dukani wapendwa!!!