Hamisa Mobetto atarajia kufungua Duka la nguo na urembo

yule boss lady hajawai kufanikiwa kwenye biashara yoyote .gundu .com
Zari Hassan abandoned her Fashion boutique at Garden city to the dogs when she relocated to Tanzania with her fiancée Singer Diamond Platinumz. The business has since been gutted by bad debts and losses after it was deserted

“Zari left the shop in the hands of her mother who managed the business for months until she couldn’t due to her old age and the stiff competition from Abryanz Fashion Forward store.” a source told howwe.biz

We’ve been told that Garden City management has closed her shop over unpaid rent arrears. She was given an ultimatum to clear the debt however, she (Zari) refused to pay.

Consequently, GC management has put her goodies up for auction in a bid to recover their rent money.
Wabongo wanashoboka na watu wa nje
Walimponda wolper sasa anashine!
 
nyie binadamu hamna jema umeshaambiwa alikuwa anafanya ila kwa kutumia brand za wengine, sasa ameamua kuja na ya kwake!!
[emoji108] ahsante sana kwa kuwaelewesha
Wabongo wanapendaga show off alijikalia kimyaa Dada wa watu

Leo nakuambia kuna watu hawatolala!
 
Hawa ni wasanii tu. Sio kila kitu wanachokuja kukisema basi ukiamini.
Hapo utakuta hata duka halipo ila ni wazo lake tu. Au kesho na keshokutwa unaambiwa duka sio la kwake ila jina lake limetumika katika hilo duka ili kuvutia wateja.

Asilimia 90% ya wasanii wa Tanzania hawajui kufanya biashara, wanajua kudandia dandia fursa zenye muonekano mzuri ili kujenga umaarufu tu, zaidi ya hapo ni kutafuna tu mitaji.
 
Child support ni haki yake ile mimba haijatoka kwa roho mtakatifu !!!
Child support ndio mil 5 kwa mwezi? Kusoma muhimu sana. Maana process nzima ya kuumiza kichwa kufikiria inasahauliwa. Mihemko na ujanja wa kijinga ndio unaongoza njia. Kuangukia pua
 
Hawa ni wasanii tu. Sio kila kitu wanachokuja kukisema basi ukiamini.
Hapo utakuta hata duka halipo ila ni wazo lake tu. Au kesho na keshokutwa unaambiwa duka sio la kwake ila jina lake limetumika katika hilo duka ili kuvutia wateja.

Asilimia 90% ya wasanii wa Tanzania hawajui kufanya biashara, wanajua kudandia dandia fursa zenye muonekano mzuri ili kujenga umaarufu tu, zaidi ya hapo ni kutafuna tu mitaji.
Sio kweli!
Lulu ana nyumba,ana duka la nguo.
Zamaradi nae pia yuko vzr
Wolpa ana house of fashion

Shilole anaimba na anauza chakula
Eshe Buheti anauza chakula na vitafunwa

Wengi wanaamka na kujitambua tuwapeni sapoti tuache negativity
 
zari alishindwa kulipa kodi hadi vitu vikapigwa mnada eti bossylady
Zari Hassan abandoned her Fashion boutique at Garden city to the dogs when she relocated to Tanzania with her fiancée Singer Diamond Platinumz. The business has since been gutted by bad debts and losses after it was deserted

“Zari left the shop in the hands of her mother who managed the business for months until she couldn’t due to her old age and the stiff competition from Abryanz Fashion Forward store.” a source told howwe.biz

We’ve been told that Garden City management has closed her shop over unpaid rent arrears. She was given an ultimatum to clear the debt however, she (Zari) refused to pay.

Consequently, GC management has put her goodies up for auction in a bid to recover their rent money.
Kwanini watu wanakomaa na Zari kuliko shida zao binafsi?
 
Child support ndio mil 5 kwa mwezi? Kusoma muhimu sana. Maana process nzima ya kuumiza kichwa kufikiria inasahauliwa. Mihemko na ujanja wa kijinga ndio unaongoza njia. Kuangukia pua
Sijasema 5mills Mimi usinilishe manenoo!

[emoji1] [emoji1] kuna watu hawatalala Leo [emoji1] [emoji1] [emoji2] team figisuuuu
 
Mil 5 kwa mwezi zimeota mbawa. Lazima akili ikae sawa
Kumbe wasaga sumu mko wengiii[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji13] [emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14] mtashaaa mwaka huui
 
Hongereni kwa wote wenye mabandiko chanya kuhusu huyu mrembo.
Mkuu wewe je?
Mimi nam support sana huyu mtoto ana mapungufu lakini ni utoto akikua ataacha.
Acha atengeneze pesa ya kulea wajukuu zetu damu yetu Tz.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Kwanini watu wanakomaa na Zari kuliko shida zao binafsi?
Jiulize wewe unaekomaa na hamisa kuliko ya kwako binafs
Katoto ka 24yrs kanawajambishaaa[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Hongereni kwa wote wenye mabandiko chanya kuhusu huyu mrembo.
[emoji1] [emoji2] [emoji2] ahsante kakaa!

Mi sipendi bwana as if ye ndo wa kwanza kulala na bwana wa mtu!!
Wengi ni chuki kwa kua mtiziii hakuna lolote

Aliibiwa mume Hillary Clinton seuse wengine uhawara tu ht uchumba hakuna!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom