Hamisa Mobetto avujisha picha zake na Diamond

Dunia inapoelekea ni balaa tupu
Yani mwanamke ndio anasambaza picha za utupu kwa shangwe zote(kwamba yuko so proud kwamba mtu fulani ameshawahi kumfcuk)

What's so good kuhusu Diamond jamani!
Sukari ya warembo, kama nawe ni mrembo kajaribu bahati yako, kidding
 
Na mbaya zaid mond anavyomtumia Sasa mara washikane matako mara Maziwa hlf uamke ukute picha kama zile na mwanamke mwengine inaumaje mungu ampe wepec kama alipata ujasiri wa kushikanashikana kwenye msiba wa mamake hata hili pia atalivumilia tu
Yaani ht hao wazungu hawafanyi vile!daah to b honest zari ajifunze atafuta wazee wenzie hv viserengeti ni pasua kichwaaa
 
Wakatoka polisi na yeye aende ustawi kule anaitwa!
 
Inasemekana Diamond Platinumz anampango wa kumpeleka Hamisa Mobeto Polisi kwa kuvujisha picha zao za kitandani. Shilawadu wamtafuta Dada yake diamond ili kuthibitisha, ila dada yake aonyesha kutoelewa chochote kwa kukwepa Maswali.
sawa maana hakumshirikisha zile ni picha za wawili
 
Dunia inapoelekea ni balaa tupu
Yani mwanamke ndio anasambaza picha za utupu kwa shangwe zote(kwamba yuko so proud kwamba mtu fulani ameshawahi kumfcuk)

What's so good kuhusu Diamond jamani!
Kuna picha ya utupu gani pale??
 
Ila tuache masihara jamani ile bia anayoitangaza diamond ile ya belaire ni kali mno paka ananjunji na hamisa kwenye bed ya zari jomoni?
 
Tatizo siku hizi vijana hawapiti jando na unyago, na ndio maana wanafanya vitu vya kijinga sasa yy anazani anamkomoa diamond platnumz, kumbe yy anajishusha thamani mbele ya Diamond platnumz na jamii kiujumla, mbona Kuna nyumba ndogo wanajiheshimu na wanaheshim waume zao na wamejengewa, wamefunguliwa mabiashara (kama hapa mtaani Kuna dada kajengewa na kafunguliwa maduka mawili ya vinywaji vya jumla sehemu tofauti, watoto wanasoma international, anajilia vyake kimya kimya), sasa hapo hata kama diamond platnumz alimpanga LABDA kumjengea na kumfungulia biashara, ataghairi tu kwani kamwaribia mwenzio na akae akijua mwanamke hawezi shindana na mwanaume, mwisho wa siku yy ndio anaonekana mpuuzi na thamani yake ishashuka na ndio maana mm nikiwa nafanyaga show zangu namwambia mama kabisa simu ziwe off kwa sababu ya kuogopa upuuzi kama huu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…