Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pesa ndo inawachanganyaKwani hiyo dyudyu ya diamond ina kitu gani special mbona wanaigombania hivyo kama rupia ya mjerumani
Tusubiri...sitakatai wengine mtaani tunawo wazuri kama hao, swala hawa majina tu...ila raha kwa mwanaume kugombaniwa kama hivi..Hahaha kimenuka huko sasa
Dimpozi kumbe anampama mate bi mkubwaa daaahYeye na baba yake wameishia wapi? I mean dimpozi
Last weekend alijifanysha anaenda out.. With bae kumbe na friends tu atulie yule n mtu mzma aache kuhangaika na vtoto hvWala haumii yeye alisema hana mda wa kufight for dick only she looks for money so let's her fight with situation itself
Sent from my TECNO P5 using JamiiForums mobile app
Sukari ya warembo, kama nawe ni mrembo kajaribu bahati yako, kiddingDunia inapoelekea ni balaa tupu
Yani mwanamke ndio anasambaza picha za utupu kwa shangwe zote(kwamba yuko so proud kwamba mtu fulani ameshawahi kumfcuk)
What's so good kuhusu Diamond jamani!
Yaani ht hao wazungu hawafanyi vile!daah to b honest zari ajifunze atafuta wazee wenzie hv viserengeti ni pasua kichwaaaNa mbaya zaid mond anavyomtumia Sasa mara washikane matako mara Maziwa hlf uamke ukute picha kama zile na mwanamke mwengine inaumaje mungu ampe wepec kama alipata ujasiri wa kushikanashikana kwenye msiba wa mamake hata hili pia atalivumilia tu
Kumekuchaaaa........SHILAWADUUUU SHILAWADUUUU
Inasemekana Diamond Platinumz anampango wa kumpeleka Hamisa Mobeto Polisi kwa kuvujisha picha zao za kitandani. Shilawadu wamtafuta Dada yake diamond ili kuthibitisha, ila dada yake aonyesha kutoelewa chochote kwa kukwepa Maswali.
Kuna picha ya utupu gani pale??Dunia inapoelekea ni balaa tupu
Yani mwanamke ndio anasambaza picha za utupu kwa shangwe zote(kwamba yuko so proud kwamba mtu fulani ameshawahi kumfcuk)
What's so good kuhusu Diamond jamani!