Huyo ni golikipa wa Yanga wa zamani
jina la kwanza alikuwa anaitwa Juma
Wewe kweli fyatu.Yeye Mondi anachokataa ni Mtoto, anadai hakuwahi kusikia kama Mtoto ameingia humo kwa Mobeto.
[emoji106]Aisee kweli hali ngumu , wao walale kitanda kimoja cjui viwili km haikuipatii pesa achana nayo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huyo wa kwenye picha mbona ni Ali Kiba?
Anhaa,so kilishawah kuoneshwa?Bado mtoto ndio sababu
Nenda kwa daktr wa macho utakuwa na matatizo y machoNaona kama photoshop vike
Kufa kwajaPondamali....
Watu mnajua had vitanda vya WATU
hahahahahaha..!! mambo yanazidi kunogaView attachment 590719 na baba yake hakuwa nyumaa,,ila arobain ni wiki ijayo,nasubiri kuona midomo