Hamisa Mobetto avujisha picha zake na Diamond

Hamisa Mobetto avujisha picha zake na Diamond

mond unamsumbua mama bhana akisema amuweke zari karibu mara unamletea hamisa, akijisogeza kwa hamisa mara unamrudisha zari.
anabaki anatanga tanga tu, usiku anaenda kumcheck dully mchana anawapost nilan na Tifa.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] umeona ewh

Sent from my TECNO P5 using JamiiForums mobile app
 
Hapa naanza kuamini amini [emoji23][emoji23][emoji23] ila hamisa kiboko[emoji23][emoji23]
Daimond ana mgongo mzuri ,,bibi leo ataandika snap chat mpaka wakome
[emoji1] [emoji1] [emoji1] atashusha gazetiiii kabisaaaa!!ila kanikosha sana hamisa maana alisema dai kwake hapinduii yaani mwanaume alimuona km malaikaaa loooh

Sent from my TECNO P5 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom