Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Diamond hakuwa Tanzaniahizi zote ni hasira za dai kumkana mtoto na pia kutokupiga picha na mwanawe siku y 40 hiyo jana 😱😱😱😱😱😱 huyu bint ana nux majizo alimpiga pamnyaga akamwacha dai naye kamakana
hata angekuwepo asingeenddaDiamond hakuwa Tanzania
Na wivu wako kwa Zari ukute hata posa hujawahi kuletewa hahahahaMwanamke mjeuri we kamata bwana ake mpe yote na mauno juu tuone sasa, waaaaapi bibi tukinao
We unatafuta nini huku! Si ukayafanye hayo maisha.Acheni ufukunyuku emb fanyeni maisha[emoji16][emoji16][emoji16]
Kamkomesha vibaya mnooo Leo haviliki hukooHapo Sasa nae alikuwa anajidai cn hamisa akawa anamchoraaa tu inauma kuringa unapendwa kumbe watu wanakuchora tu
Yaani hata siku moja usijione wewe babu kubwa kudharau wenzio au kurushana roho utaumbuka tu!mpende kwa nafas yako ila usitake kuwadharau wenzioNa mbaya zaid mond anavyomtumia Sasa mara washikane matako mara Maziwa hlf uamke ukute picha kama zile na mwanamke mwengine inaumaje mungu ampe wepec kama alipata ujasiri wa kushikanashikana kwenye msiba wa mamake hata hili pia atalivumilia tu
Sio zari aliyemtukana wema na kumuita fake kisa ana watoto?huyu hamisa ni muuwaji kabisa,,
Sasa kama ameshalazwa na yeye atakosaje kukijuwa hicho kitanda?Watu mnajua had vitanda vya WATU