Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 14,938
- 25,405
Ohoo ni shida mkuu sasa mbona kama anamkataa mtoto kwa hamisaTatizo umalaya mkuu
Dunia inapoelekea ni balaa tupu
Yani mwanamke ndio anasambaza picha za utupu kwa shangwe zote(kwamba yuko so proud kwamba mtu fulani ameshawahi kumfcuk)
What's so good kuhusu Diamond jamani!
Kwani hiyo dyudyu ya diamond ina kitu gani special mbona wanaigombania hivyo kama rupia ya mjerumani
Watajijua tushawachoka na kiki zao , wengine tupo bize kumwombea mzee lissu
Dunia inapoelekea ni balaa tupu
Yani mwanamke ndio anasambaza picha za utupu kwa shangwe zote(kwamba yuko so proud kwamba mtu fulani ameshawahi kumfcuk)
What's so good kuhusu Diamond jamani!
Haya ndo malipo yake unadhani hata mamake huko peponi alipenda vileNa mbaya zaid mond anavyomtumia Sasa mara washikane matako mara Maziwa hlf uamke ukute picha kama zile na mwanamke mwengine inaumaje mungu ampe wepec kama alipata ujasiri wa kushikanashikana kwenye msiba wa mamake hata hili pia atalivumilia tu
Ufamous utawamaliza akyanan!Na huyo ni mama pata picha watoto wake watakuwaje, siku hizi kina mama heshima hatuna kabisa, imagine unakuwa mkubwa unakutana na picha za utupu wa mama ako.
Kaijaribu wewe uje utupe majibuPractice makes it perfect...go n try him mnaweza mkaja na uvumbuzi wenu na kutuletea mrejesho humu...maana cdhani km kuna mwenye jibu sahihi la hilo swali.
Waqt ule demu ukimtokea akikupa siku hiyo hiyo iliku tayari unampa certificate yake kuwa malaya sasa siku hizi na jinsi vyuma vilivyo kaza plus maadili yalivyo momonyoka ulijumusha na umaarufu pasipo mipaka matokeo yake ndio haya pointi zimebana kwelikweli nyuso ya haya hakunaDaah Dunia imefika Ukingoni
Zamani ilikuwa aibu sana kwa Mwanamke kujulikana ni Nyumba ndogo ya Mtu fulani lakin Siku hizi ukienda kuwagonga wanaweka ushahidi ili Siku ukiwatema wanakulipua
Kwani kijana yuleLissu nae ni mzee?!
Wee acha tu, wengine labda wana miti mingi yenyematunda matamu...Diamond na yeye vipi bwana, anaanzaje kumshtaki mtoto mkali kama huyo...Mwanaume Mashine bwana!
Hahaha kimenuka huko sasaWee acha tu, wengine labda wana miti mingi yenyematunda matamu...
Hakuna kitu kama hicho, kwani hizo picha zina maudhui mabaya? Zinaleta hatari gani kwa 'mke' wa diamond?Inasemekana Diamond Platinumz anampango wa kumpeleka Hamisa Mobeto Polisi kwa kuvujisha picha zao za kitandani. Shilawadu wamtafuta Dada yake diamond ili kuthibitisha, ila dada yake aonyesha kutoelewa chochote kwa kukwepa Maswali.
dah. dunia ndipo ilipofikia huku. kuzaa nje ya ndoa ndio dili siku hizi, kutupia picha za uchi mtandaoni ni sifa na watu wanapongeza.Inasemekana Diamond Platinumz anampango wa kumpeleka Hamisa Mobeto Polisi kwa kuvujisha picha zao za kitandani. Shilawadu wamtafuta Dada yake diamond ili kuthibitisha, ila dada yake aonyesha kutoelewa chochote kwa kukwepa Maswali.
Itabidi nfanye mpango ili nijionee kama yaliyomo yamo lolPractice makes it perfect...go n try him mnaweza mkaja na uvumbuzi wenu na kutuletea mrejesho humu...maana cdhani km kuna mwenye jibu sahihi la hilo swali.