cocochanel
Platinum Member
- Oct 6, 2007
- 27,885
- 76,043
Mh coco babe nakupenda sana hapa nipo tofauti na ww wa kufunga ndoa na kuwa kimya naniiiiiiiiiiii ile nyimbo bana
we ni mtanzania? kiswahili chako kinanipa shida sana kuelewa
Dooh ila kushabikia team inataka moyo coco babe jamani Mungu anakuona kima ni zari
Hana nyumba zerich nakumbuka daimond alivyonnua south aliweka waraka mrefu mnoo seems Ivan alikua anapanga south daimond akaona Annue nyumba amkalishe mama watoto wake...siku ya bday ya Zari Ivan akachukia sana ile kitu kwa nini kamdhalilisha!
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe tena my dear ntakutagi hata mara mia uje ule ubuyu wa afya
Umeoma kampeni ya mangenita kumchafua diamond instagram? Nimesoma kwenye kurasa ya kile kinywaji 🙆
Ha ha haaaaaa
Sasa umeonyesha makucha yako kizaidi.. kumbe eeeeeh
Usimchukie kutudanganya sasa ha ha haaaa
100k usd iliyomalizia Madale hadi Ivan ndio akakasirika ilikupita nini?
Utimu umekujaaaaaa nilikuhisi ulijitahidi ila nilijua utapwaya tu kujionyesha nia yako ya kumuongelea Zee
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Girlfriend si amesema pale kwenye interview au sijui kizunguu hata cha majiii!anasema alikua na girlfriend wake wakazaa watoto wawiliNa akasema Zari alimwitaje?
Mimi sinaga utimu mavi mavi my dear Niko na msimamo wangu!nawaonea huruma nyie wenye chuki na hamisa kuna watu humu thread ikiwa ya hamisa hawali wala hawaogi waje kuongelea negative kuhusu yeye Mimi naongea nachokijua kama kweli hizo nyumba anazo tutajua tu muda mwl mzuri!Ha ha haaaaaa
Sasa umeonyesha makucha yako kizaidi.. kumbe eeeeeh
Usimchukie kutudanganya sasa ha ha haaaa
100k usd iliyomalizia Madale hadi Ivan ndio akakasirika ilikupita nini?
Utimu umekujaaaaaa nilikuhisi ulijitahidi ila nilijua utapwaya tu kujionyesha nia yako ya kumuongelea Zee
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Ila majina mnayomwita mwanamke mwenzenu siyo ya stara. Hata kama anamakosa mshaurini na si kumuita mara nzi mara sijui nini. Ila sie wanawake jamaniiNzi wetu anapewa kichwa na team yake eti vumilia tu mbona dai kamuita zari ndezi mara oohoo hata zari na wema walishadhalilishwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Halafu kila mtu ana mazuri na mabaya yake mfano Zari nampenda ana mambo.yake mazuri vivyo hivyo Hamisa. Ila watu mishipa inawatoka kumsema na kumponda as if kawalia mwanaume wao mbona Zari kanyamaza yy ndo alipaswa awe na uchungu sio team za kishamba shamba kutukana watu na mbaya zaidi mpk kutukana wtt wasio na hatia.Mimi sinaga utimu mavi mavi my dear Niko na msimamo wangu!nawaonea huruma nyie wenye chuki na hamisa kuna watu humu thread ikiwa ya hamisa hawali wala hawaogi waje kuongelea negative kuhusu yeye Mimi naongea nachokijua kama kweli hizo nyumba anazo tutajua tu muda mwl mzuri!
Mimi nimeanza kumjua Zari kabla ya jf wala Instagram sinaga utim mavi mavi Mimi halafu Mimi sinaga chuki za ajabu kwa mtu asiye na athari na mimi!
Nawaonea huruma sana wale mashabiki maabdazi wenye chuki na watu wasiowajua!
Simchukii kwa kua hanijui simjui zaidi ya kwenye mitandao tu!
Ukiona unamchukia mtu usiemjua basi we mwanga aiseehh!
Sent using Jamii Forums mobile app
Tayari hlf umetajwa[emoji12] [emoji12] [emoji12][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]akianika majina nitag maa
this is baad kuita watt hivi
View attachment 846489
Ila majina mnayomwita mwanamke mwenzenu siyo ya stara. Hata kama anamakosa mshaurini na si kumuita mara nzi mara sijui nini. Ila sie wanawake jamanii
Ahsante umenena maneno!Halafu kila mtu ana mazuri na mabaya yake mfano Zari nampenda ana mambo.yake mazuri vivyo hivyo Hamisa. Ila watu mishipa inawatoka kumsema na kumponda as if kawalia mwanaume wao mbona Zari kanyamaza yy ndo alipaswa awe na uchungu sio team za kishamba shamba kutukana watu na mbaya zaidi mpk kutukana wtt wasio na hatia.
Humu watu na chuki na hamisa nafikiri walikua wanamtaka wao mondii[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] huko waliko wanamtanii haswaa!!tatizo sio Missa tatizo mtoto why kazaa na mondi na sio mwingine!Ila majina mnayomwita mwanamke mwenzenu siyo ya stara. Hata kama anamakosa mshaurini na si kumuita mara nzi mara sijui nini. Ila sie wanawake jamanii
Mhhh kila mtu ana mapungufu yake labda na yy ndivyo alivyo na kweli anabore sana kutojielewa na kujitambua. Kwa hilo hata mm naunga mkono hoja ila sio kwa sbb ni hivyo basi wamuite mtu nzi!!!!yaniii du siwezi jamani.Mkuu huyo mwanamke hajielewi ataitwa majina yote mapaka atakapojitambua,ndo faida ya umaarufu wa kulazimisha
hahaaa kutamani kuzaa na huyo kicheche nao ni upungufu wa akili ku mkichwaHumu watu na chuki na hamisa nafikiri walikua wanamtaka wao mondii[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] huko waliko wanamtanii haswaa!!tatizo sio Missa tatizo mtoto why kazaa na mondi na sio mwingine!
Husda mbaya sanaa!ukitaka kujua wanaafiki akifanya mazuri hawamsifii hata kidogo!!wanatamani hamisa ashuke stress za kwenye mahusiano na kwa kua wao michepuko basi wanaenda kummalizia hamisa!pambaneni na mahusiano yenu jamani!
Chuki ikizid mtakua wanga nyie maheta!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mhhh kila mtu ana mapungufu yake labda na yy ndivyo alivyo na kweli anabore sana kutojielewa na kujitambua. Kwa hilo hata mm naunga mkono hoja ila sio kwa sbb ni hivyo basi wamuite mtu nzi!!!!yaniii du siwezi jamani.