Hamisa Mobetto: Diamond anaweza akanioa

Hamisa Mobetto: Diamond anaweza akanioa

Mh coco babe nakupenda sana hapa nipo tofauti na ww wa kufunga ndoa na kuwa kimya naniiiiiiiiiiii ile nyimbo bana

Haya nakuaga na ili
Kwa hapa dear
Kulikua na sherehe siku ya siku
Ukumbini kabisaaaaaa
Kideo kile kina mengi..

Ila ndio imetoka hiyoooo.. Zari ana bwanake tayari
 
Hana nyumba zerich nakumbuka daimond alivyonnua south aliweka waraka mrefu mnoo seems Ivan alikua anapanga south daimond akaona Annue nyumba amkalishe mama watoto wake...siku ya bday ya Zari Ivan akachukia sana ile kitu kwa nini kamdhalilisha!

Sent using Jamii Forums mobile app

Ha ha haaaaaa
Sasa umeonyesha makucha yako kizaidi.. kumbe eeeeeh
Usimchukie kutudanganya sasa ha ha haaaa
100k usd iliyomalizia Madale hadi Ivan ndio akakasirika ilikupita nini?

Utimu umekujaaaaaa nilikuhisi ulijitahidi ila nilijua utapwaya tu kujionyesha nia yako ya kumuongelea Zee
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Kichekesho kikubwa,kampen ya kumchafua makonda ilimshinda sembuse dai,watu kama mie tunaona bora kumshabikia dai kuliko mange na tununu
Umeoma kampeni ya mangenita kumchafua diamond instagram? Nimesoma kwenye kurasa ya kile kinywaji 🙆‍
 
Huyo anampemda sana zari ndo maana anamfatilia ila anashindwa jizuia na kutaka aonekane anamchukia,fatiloa comment zake kila muda lazima amtaje zari hata pale zari asipohusika.
Ha ha haaaaaa
Sasa umeonyesha makucha yako kizaidi.. kumbe eeeeeh
Usimchukie kutudanganya sasa ha ha haaaa
100k usd iliyomalizia Madale hadi Ivan ndio akakasirika ilikupita nini?

Utimu umekujaaaaaa nilikuhisi ulijitahidi ila nilijua utapwaya tu kujionyesha nia yako ya kumuongelea Zee
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Ha ha haaaaaa
Sasa umeonyesha makucha yako kizaidi.. kumbe eeeeeh
Usimchukie kutudanganya sasa ha ha haaaa
100k usd iliyomalizia Madale hadi Ivan ndio akakasirika ilikupita nini?

Utimu umekujaaaaaa nilikuhisi ulijitahidi ila nilijua utapwaya tu kujionyesha nia yako ya kumuongelea Zee
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Mimi sinaga utimu mavi mavi my dear Niko na msimamo wangu!nawaonea huruma nyie wenye chuki na hamisa kuna watu humu thread ikiwa ya hamisa hawali wala hawaogi waje kuongelea negative kuhusu yeye Mimi naongea nachokijua kama kweli hizo nyumba anazo tutajua tu muda mwl mzuri!

Mimi nimeanza kumjua Zari kabla ya jf wala Instagram sinaga utim mavi mavi Mimi halafu Mimi sinaga chuki za ajabu kwa mtu asiye na athari na mimi!

Nawaonea huruma sana wale mashabiki maabdazi wenye chuki na watu wasiowajua!
Simchukii kwa kua hanijui simjui zaidi ya kwenye mitandao tu!

Ukiona unamchukia mtu usiemjua basi we mwanga aiseehh!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nzi wetu anapewa kichwa na team yake eti vumilia tu mbona dai kamuita zari ndezi mara oohoo hata zari na wema walishadhalilishwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila majina mnayomwita mwanamke mwenzenu siyo ya stara. Hata kama anamakosa mshaurini na si kumuita mara nzi mara sijui nini. Ila sie wanawake jamanii
 
Mimi sinaga utimu mavi mavi my dear Niko na msimamo wangu!nawaonea huruma nyie wenye chuki na hamisa kuna watu humu thread ikiwa ya hamisa hawali wala hawaogi waje kuongelea negative kuhusu yeye Mimi naongea nachokijua kama kweli hizo nyumba anazo tutajua tu muda mwl mzuri!

Mimi nimeanza kumjua Zari kabla ya jf wala Instagram sinaga utim mavi mavi Mimi halafu Mimi sinaga chuki za ajabu kwa mtu asiye na athari na mimi!

Nawaonea huruma sana wale mashabiki maabdazi wenye chuki na watu wasiowajua!
Simchukii kwa kua hanijui simjui zaidi ya kwenye mitandao tu!

Ukiona unamchukia mtu usiemjua basi we mwanga aiseehh!

Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu kila mtu ana mazuri na mabaya yake mfano Zari nampenda ana mambo.yake mazuri vivyo hivyo Hamisa. Ila watu mishipa inawatoka kumsema na kumponda as if kawalia mwanaume wao mbona Zari kanyamaza yy ndo alipaswa awe na uchungu sio team za kishamba shamba kutukana watu na mbaya zaidi mpk kutukana wtt wasio na hatia.
 
this is baad kuita watt hivi
Screenshot_2018-08-25-12-56-02-1.png
 
Mkuu huyo mwanamke hajielewi ataitwa majina yote mapaka atakapojitambua,ndo faida ya umaarufu wa kulazimisha
Ila majina mnayomwita mwanamke mwenzenu siyo ya stara. Hata kama anamakosa mshaurini na si kumuita mara nzi mara sijui nini. Ila sie wanawake jamanii
 
Halafu kila mtu ana mazuri na mabaya yake mfano Zari nampenda ana mambo.yake mazuri vivyo hivyo Hamisa. Ila watu mishipa inawatoka kumsema na kumponda as if kawalia mwanaume wao mbona Zari kanyamaza yy ndo alipaswa awe na uchungu sio team za kishamba shamba kutukana watu na mbaya zaidi mpk kutukana wtt wasio na hatia.
Ahsante umenena maneno!

Yaani wapambe nuksi kuliko mwenye Mali!
Wana uchungu na zari kuliko Zari mwenyewe!!!!hahaaaahaaa

Au mondi wanamtaka waoooo!!!semeni tu free pizza boy yupo!atawapa mimba na wao!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila majina mnayomwita mwanamke mwenzenu siyo ya stara. Hata kama anamakosa mshaurini na si kumuita mara nzi mara sijui nini. Ila sie wanawake jamanii
Humu watu na chuki na hamisa nafikiri walikua wanamtaka wao mondii[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] huko waliko wanamtanii haswaa!!tatizo sio Missa tatizo mtoto why kazaa na mondi na sio mwingine!

Husda mbaya sanaa!ukitaka kujua wanaafiki akifanya mazuri hawamsifii hata kidogo!!wanatamani hamisa ashuke stress za kwenye mahusiano na kwa kua wao michepuko basi wanaenda kummalizia hamisa!pambaneni na mahusiano yenu jamani!

Chuki ikizid mtakua wanga nyie maheta!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu huyo mwanamke hajielewi ataitwa majina yote mapaka atakapojitambua,ndo faida ya umaarufu wa kulazimisha
Mhhh kila mtu ana mapungufu yake labda na yy ndivyo alivyo na kweli anabore sana kutojielewa na kujitambua. Kwa hilo hata mm naunga mkono hoja ila sio kwa sbb ni hivyo basi wamuite mtu nzi!!!!yaniii du siwezi jamani.
 
Humu watu na chuki na hamisa nafikiri walikua wanamtaka wao mondii[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] huko waliko wanamtanii haswaa!!tatizo sio Missa tatizo mtoto why kazaa na mondi na sio mwingine!

Husda mbaya sanaa!ukitaka kujua wanaafiki akifanya mazuri hawamsifii hata kidogo!!wanatamani hamisa ashuke stress za kwenye mahusiano na kwa kua wao michepuko basi wanaenda kummalizia hamisa!pambaneni na mahusiano yenu jamani!

Chuki ikizid mtakua wanga nyie maheta!

Sent using Jamii Forums mobile app
hahaaa kutamani kuzaa na huyo kicheche nao ni upungufu wa akili ku mkichwa
 
Mbona mwenyewe anapenda sana maana hata jina mbu alilifurahia,zari kaitwa majina yooteee mabaya sijawahi ona anayekuja mtetea kwa kigezo mwanamke mwenzetu,akizinduka huyu tununu atakua nyuki mtengeneza asali,mbona fursa anazo nyingi tu. Tuvumiliane tu wanawake hatupendan maana juzi tulikua tunamshambulia mwanamke mwenzetu zama kwa kashfa kibao.

Back
Top Bottom