Hamisa Mobetto: Diamond anaweza akanioa

Hamisa Mobetto: Diamond anaweza akanioa

Ameiskia interview ya mondi lakini au anaweweseka tu.....hivi yule Dada ni lini atakubali kuacha kudhalilika....hivi ni kwanini asimg'ang'anie majizo mpk akomae na mondi ambae kila uchwao anamdharirisha....Jana kaitwa sidechick huko na huyo mondi wake akiona ile interview sijui atajichukuliaje

Sent using Jamii Forums mobile app
Misa kaamua kukubali kudhalilika tena naweza sema anajidhalilisha mwenyewe.
Yaani haiwezekani mwanaume anakukana kila siku na bado unang'ang'ania hapohapo,huo ni upuuzi.

Sijui kichwa chake kimejaa tope yule dada,anatia huruma kwakweli.
 
Hiyo team ushuzi ndio inamtia kiburi na kumjaza uninga.
Mwanaume anayekupenda hawezi kukufanyia matendo kama anayofanyiwa yeye na huyo baby dady wake

Inzi akiacha ujinga iko siku anaweza tengeza asali
Aliiona,kuna siku alipost anajishebedua kwa wimbo wa jibebe,jana kaitwa sidechick na mwanae sidekid akaifuta video ya jibebe. Timu yake inamsifia anapendwa yeye zaidi kuliko wengine nae kichwa kinamjaa.Akome madam.zero
 
Kuna watu wanampenda zari humu kutwa zari zari zari [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sijawahi ona dai anawaita majina ya kindezi akina tiffa

Sidekid daah huyu mtoto akikua nae amtaabishe dai kama anavufanya saiv kwa baba ake
 
Nzi wetu anapewa kichwa na team yake eti vumilia tu mbona dai kamuita zari ndezi mara oohoo hata zari na wema walishadhalilishwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hiyo team ushuzi ndio inamtia kiburi na kumjaza uninga.
Mwanaume anayekupenda hawezi kukufanyia matendo kama anayofanyiwa yeye na huyo baby dady wake

Inzi akiacha ujinga iko siku anaweza tengeza asali
 
Siku mondi akikolezwa na konokono anaanza ooh hawa wote wanangu nawapenda,misa naye dushe likimkolea anaanza mashauzi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kikinuka ndo hivyo sasa habari za kuitana sidechick
Natumain sidekid bado kamfollow baba ake maana ile account inabadilishwa badilishwa kulingana na upepo wa mahusiano ya wizi
 
Kuna watu wanampenda zari humu kutwa zari zari zari [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sijawahi ona dai anawaita majina ya kindezi akina tiffa

Sidekid daah huyu mtoto akikua nae amtaabishe dai kama anavufanya saiv kwa baba ake
Hata unaona anavyowa treat watoto wa zari ni tofauti kbs na huyu wa kwake. Kihere here cha mama ake hadi mtoto anadhurika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom