carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,562
- 285,591
Hahahaa!sijawahi ona mwanaume mswahili kama huyu.Huyu ndo mwanaume wa kumuunga mkono huyu
Hahaaaahaaa!!nimecheka kama mazuri!so wanawake wote kilichowapeleka ni ashki zao!hatari hiiView attachment 845579
Sent using Jamii Forums mobile app
Misa kaamua kukubali kudhalilika tena naweza sema anajidhalilisha mwenyewe.Ameiskia interview ya mondi lakini au anaweweseka tu.....hivi yule Dada ni lini atakubali kuacha kudhalilika....hivi ni kwanini asimg'ang'anie majizo mpk akomae na mondi ambae kila uchwao anamdharirisha....Jana kaitwa sidechick huko na huyo mondi wake akiona ile interview sijui atajichukuliaje
Sent using Jamii Forums mobile app
Aliiona,kuna siku alipost anajishebedua kwa wimbo wa jibebe,jana kaitwa sidechick na mwanae sidekid akaifuta video ya jibebe. Timu yake inamsifia anapendwa yeye zaidi kuliko wengine nae kichwa kinamjaa.Akome madam.zero
Hiyo team ushuzi ndio inamtia kiburi na kumjaza uninga.
Mwanaume anayekupenda hawezi kukufanyia matendo kama anayofanyiwa yeye na huyo baby dady wake
Inzi akiacha ujinga iko siku anaweza tengeza asali
Na baba Dylan kama baba Dylan kagongelea msumari
Nzi wetu anapewa kichwa na team yake eti vumilia tu mbona dai kamuita zari ndezi mara oohoo hata zari na wema walishadhalilishwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Natumain sidekid bado kamfollow baba ake maana ile account inabadilishwa badilishwa kulingana na upepo wa mahusiano ya wizi
Kwakweli maana kila mara anakanwa hadharan lkn ndio kwanza hakati tamaa.[emoji23][emoji23]sijui ni kupenda ama vipi.
Ila yawezekana alikuwa anatamani siku nyingi alalwe na mondi na sasa ndoto imetimia anaamua kung'ang'ania
Kile kichwa inawezekana hakiko sawaKwakweli maana kila mara anakanwa hadharan lkn ndio kwanza hakati tamaa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata unaona anavyowa treat watoto wa zari ni tofauti kbs na huyu wa kwake. Kihere here cha mama ake hadi mtoto anadhurikaKuna watu wanampenda zari humu kutwa zari zari zari [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sijawahi ona dai anawaita majina ya kindezi akina tiffa
Sidekid daah huyu mtoto akikua nae amtaabishe dai kama anavufanya saiv kwa baba ake
Mmmh sijawahi ona popote zari kadhalilishwa km yyNzi wetu anapewa kichwa na team yake eti vumilia tu mbona dai kamuita zari ndezi mara oohoo hata zari na wema walishadhalilishwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kichwa chake kina F7 mkuu.Misa kaamua kukubali kudhalilika tena naweza sema anajidhalilisha mwenyewe.
Yaani haiwezekani mwanaume anakukana kila siku na bado unang'ang'ania hapohapo,huo ni upuuzi.
Sijui kichwa chake kimejaa tope yule dada,anatia huruma kwakweli.
Anaboa sana hivi ina maana hao wanawake wote aliowapitia hawakumpenda zaidi ya nye....!!;[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hapana