Hamisa Mobetto: Diamond anaweza akanioa


Anampenda Zari interview ya USA iliyozunguka tangu jana imeonyesha. Majutooooooooo

Si uliona firaha akiwa SA?
 
Nimegee ubuyu kidogo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona hamisa ana apply ile mapenzi uvumilivu atabadilika maisha kupanda na kushuka misukosuko ya mahusiano kubali yote kama wanawake wa zamani ila jamani hadi kutukaniwa mtoto hapana hiyo ni nehiiiiiii uzuzu wa kiwango cha mwendokasi
Uvumilivu kwa mume na una mwisho pia sio kirahisi hvyo hawara hata kwenu hawamjui [emoji3][emoji16][emoji16][emoji23]kujipa moyo kwa ujinga huko anakojipa hamisa!!

Diamond hatokaa amuoe yeye wala dada yoyote yule kibongobongo!acha wadhalilishwe tu kwa kweli!yaani mwanaume asiyeniona sitokaaa nimpe attention hvyoo!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Interview iliyotoka jana alipoamua Mondi ambayo ilifanyika USA juzi hapa ni hii


Ndio maana na ujumbe wa ukiumia jibebe aliuandika insta story.
 
Dyudyu mama na mauno
Mauno gani bibi mtu hata kuolewa hujaolewaa shunie huo uchizi tuu!![emoji23] [emoji23] wanawake wote wa daimond mahawara tu halafu hakuna hata aliyetolewa barua hata kwa bahati mbaya na bado unakaa unakubali kudhalilishwa kisa dudu aaah!wapi!

Mi bwana jeuri nakuacha na pesa zakooo!!!hapoo na dudu yako kabisaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mtu ambaye anaweza kushukuru nyimbo yake mmesikiliza watu200k huku yy akiupromote wimbo wa mwanaume alomuacha wakat huyo mwanaume yy anamuita side chick namtoto walozaa anamuita side kid hiyo ndomana halisi ya pugi😂😂😂😂
 
mtu ambaye anaweza kushukuru nyimbo yake mmesikiliza watu200k huku yy akiupromote wimbo wa mwanaume alomuacha wakat huyo mwanaume yy anamuita side chick namtoto walozaa anamuita side kid hiyo ndomana halisi ya pugi😂😂😂😂
 
Nakwambia anawapata wa kuwaburuza hivo!!
Mi niache ila USITHUBUTU KUNIONGELEA SHOMBO,PRIVATE OR PUBLIC!!
since I won't do the same!!
ELSE!
enenehehhehehhehehehe
much worse unaingiza na mtoto
Yaani mtoto kabisaa!!!side kid!![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] na kumnangaa!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna aliyeitwa kima leo huyu diamond hapana jamani anawadhalilisha mababy mama zake woiiiiiii
 
Alidhan kwkwenda ake sauzi na shopping juu atashobokewa badala yake wakampotezea,mihasira kaja kuivujisha interview
Hayo maneno ni kwa wanao jipeleka kwake wakiwa na ny**e

Watu wanakuza tu.. lazima pia anaumia Zee kukazana kukataa kurudiana nae tena.

Hakujua kuandika alichomaanisha lazima anajuta imechanganya watu.
 

Walifunga ndoa. Na mwimbo ulitolewa. Bisahara mengine ufichwa

Ni mkewe Zari
Sasa wameachana ndio maana hana nyodo
 
Tafadhali hebu tupa na jina lake kabisaa maana humu sisi ni maperfect watupu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ohooo
Kama nami namemwona huyo mtu
Anamtukana sana misa na mwanae
Hahahah ana uchungu kuliko hata zari
Wanawake tupendane
Dimondo anatumia kitopendana wanawake kuwatumia na kuwadhalilisha period

Sent using Jamii Forums mobile app
Exactly daimond anatumia wanawake kwa kua hatupendani kudhalilisha yaani anacheza na team tu anajua kabisaa hapa nkifanya hiki timu hii itanipa sapoti!Leo kamuita mtu side chick baadae kima anajua hapa watarumbana wenyewe kwa wenyewe!ila tungeshikana asingethubutu kumdhalilisha hata mmoja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…