Hamisa Mobetto in Dubai

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Shoga kaenda Dubai hiyo caption sasa ukurasa mzima et kujifanya unaonewa wivu, mxieew , ushamba tu unakusumbua, Dubai yenyewe umefikia Deira huko mashenzin, kujifanya unaendesha Lamborghini Mxiee my foot , naona umeenda kuvizia madanga RAMADHANI iishe uanze kudanga sasa , mxiee halafu kesho unakuja insta kulia kodi

Hamisa Mobetto yuko Dubai na Msanii mwenzie Christian Bella kwa ajili ya ku shoot music video walioimba pamoja, kila la kheri hamisa, kazi na Dawa
 
Hahaaa...ila wewe dàah!,sikuwezi....unauma na kupulizaa!!!

Hamisa nampenda lakini kwa hili analofanya mwezi mtukufu nasikitika Sana daaahhh!!ameshindwa kusubiri uishe ndo afanye ujinga wake

Uzima unatupa kibri sana wanadamu!
 
Kuna msemo huku mtaani kuwa ni heri ya mchawi kuliko mbeya.
Kuna ukweli hapo wakuu?
 
Yuko anamdangia mkongo wa wema yule baunsa kaka wa bella apocalypse
 
Mfungo wa mwaka huu unaumbua wasanii wengi,haiyaa shamsa nae kaenda kudanga dubai kwa kisingizio cha vacation
 
Nasikia mizigo mingi ikienda dubai inakuwa ishalipiwa...
 
Hizo funguo za ndinga za bei mbaya
Bongo nzima anayo mtu mmoja tu
 
Hii thread imedoda sana co kawaida kulikon
 
Hamisa anapenda sana kuiga swaga za Zari
Hiyo lamboghini huko dubai ni taxi,ukitaka unaletewa airport dereva anakususia funguo
 
Ww acha uongo bwana mana kwenye screenshot yako juu naona jina la zarithebosslady, sasa hamisa anakujaje
 
KAENDA KUTOMBEKAS TUUUUU HUKOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…