warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,218
- 18,440
Shoga kaenda Dubai hiyo caption sasa ukurasa mzima et kujifanya unaonewa wivu, mxieew , ushamba tu unakusumbua, Dubai yenyewe umefikia Deira huko mashenzin, kujifanya unaendesha Lamborghini Mxiee my foot , naona umeenda kuvizia madanga RAMADHANI iishe uanze kudanga sasa , mxiee halafu kesho unakuja insta kulia kodi
Hamisa Mobetto yuko Dubai na Msanii mwenzie Christian Bella kwa ajili ya ku shoot music video walioimba pamoja, kila la kheri hamisa, kazi na Dawa
Hamisa Mobetto yuko Dubai na Msanii mwenzie Christian Bella kwa ajili ya ku shoot music video walioimba pamoja, kila la kheri hamisa, kazi na Dawa