Hamisa Mobetto kufunguka Jumatatu na kueleza jinsi Diamond alivyo ahidi kumuoa

Hamisa Mobetto kufunguka Jumatatu na kueleza jinsi Diamond alivyo ahidi kumuoa

Nasikia Mond anataka kuachia wimbo mpya, ngoja nipambane na yangu.
 
Diamond yeye kashamaliza mzizi wa Fitna. Kashasema nampenda Zari. Kakukana hadharan , yeye sio wa kwanza wala wa Mwisho kuahidiwa ndoa! Ajiongeze
 
Hivi kuolewa nako ni deni?!

Kumbe Diamond yupo sahihi kusema "no matter what, siwezi kuachana na Zari!" Manake best option katu haiwezi kuwa mwanamke anayepigania ndoa manake hiyo nayo ni dalili ya kutaka kuifanya ndoa ndio mtaji wake!!!

Mwanamke anayejitambua na kujiamini tena katika umri mdogo kama wa Hamisa, katu kuahidiwa ndoa hakuwezi kuwa hoja ya kujadili hadharani kwamba "aliniahidi ndoa."

Hapa sasa naanza kuuona ukweli wa aliyosema Diamond kwamba Hamisa alikuwa anamfanyia vitimbi Zari kwakuwa aliahidiwa ndoa!

Hivi mpaka leo hii hafahamu kwamba kati ya 100% ya wanaume ambao hawajaoa, zaidi ya 75% wameshawahi kuahidi ndoa?
Kula like
 
Naye mjanja wa mjini, anadanganywa ntakuoa, akaona ampe Papa yote [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
😱😀😀😀😀😀mwanaume una mumeo anakwambia nikubalie nitakuoa 🙄🙄wanaume wakiwa wanafikiri kwa kutumia kichwa cha chini Akili zao wanazijua wenyewe 😀😀😱😀😀
 
Shida wa wanyama wakali wa mjini ndio hiyo,mbna anatumia nguvu nyingi kutangaza mtoto wke yule wa kwanza mbna hakutangazwa
 
Kujipatia penzi kwa njia ya udanganyifu..

Hii kitu ina mashtaka yake kisheria....Nakwambia mwaka huu Dimond aumalizi uraiani lazima akanyee debe
 
Unless awe ameunga unga na vi-certificate vinavyopatikana kila kona ya Kariakoo lakini formal education aliishia kidato cha nne, Tandika!
BASI SAWA MADAME ..IYO NDO SHIDA ,,ALAFI NAHISI KUKAA MBAGARA NAKO NICJANGAMOTO KUBWA SANA KIAKILI.
 
Ilikuwa lazima aongopewe hivyo ili apate rav4 ashukuru sana!
 
Hamisa bwana kazima kwa mondi bin laden anajitahid kuoigania
 
Ongea tu yani ilitakiwa muungane mkicharaze viboko kibaba nillan kimezidi umalaya
 
Kuna watu wako nyuma yake wanampotosha kwa maslahi yao binafsi, I.e, x girls wa simba.
 
Back
Top Bottom