Hamisa Mobetto kufunguka Jumatatu na kueleza jinsi Diamond alivyo ahidi kumuoa

anachofanya Hamisa snapchat ana jidhalisha yeye na familia yke
 
Nasikia Mond anataka kuachia wimbo mpya, ngoja nipambane na yangu.
 
Diamond yeye kashamaliza mzizi wa Fitna. Kashasema nampenda Zari. Kakukana hadharan , yeye sio wa kwanza wala wa Mwisho kuahidiwa ndoa! Ajiongeze
 
Kula like
 
Naye mjanja wa mjini, anadanganywa ntakuoa, akaona ampe Papa yote [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
πŸ˜±πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€mwanaume una mumeo anakwambia nikubalie nitakuoa πŸ™„πŸ™„wanaume wakiwa wanafikiri kwa kutumia kichwa cha chini Akili zao wanazijua wenyewe πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜±πŸ˜€πŸ˜€
 
Shida wa wanyama wakali wa mjini ndio hiyo,mbna anatumia nguvu nyingi kutangaza mtoto wke yule wa kwanza mbna hakutangazwa
 
Kujipatia penzi kwa njia ya udanganyifu..

Hii kitu ina mashtaka yake kisheria....Nakwambia mwaka huu Dimond aumalizi uraiani lazima akanyee debe
 
Unless awe ameunga unga na vi-certificate vinavyopatikana kila kona ya Kariakoo lakini formal education aliishia kidato cha nne, Tandika!
BASI SAWA MADAME ..IYO NDO SHIDA ,,ALAFI NAHISI KUKAA MBAGARA NAKO NICJANGAMOTO KUBWA SANA KIAKILI.
 
Ilikuwa lazima aongopewe hivyo ili apate rav4 ashukuru sana!
 
Hamisa bwana kazima kwa mondi bin laden anajitahid kuoigania
 
Ongea tu yani ilitakiwa muungane mkicharaze viboko kibaba nillan kimezidi umalaya
 
Kuna watu wako nyuma yake wanampotosha kwa maslahi yao binafsi, I.e, x girls wa simba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…