Hamisa Mobetto kuzimisha Nyota ya Wema Sepetu

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Kadri siku zinavyozidi kuyoyoma, jina la hamisa mobetto linazidi kuruka anga za kimataifa. Scandal ya kuzaa na diamond na bifu lake na Zari boss lady limemuweka mrembo huyo kwenye ramani nzuri ya umaarufu kanda ya afrika mashariki na Africa kwa ujumla.

Ni nani sasa hivi anaweza kuingia Insta bila kuchungulia page ya mrembo huyo mwenye umbo kama mwanasesele kapost nini? Hata WEMA ambaye alikua anatikisa kwa skendo na umaarufu sasa hivi jina lake halifui dafu kwa hamisa, sio LULU, WOLPER, AUNTY EZEKIEL, UWOYA, TUNDA na warembo kibao wanaweza kufikia umaarufu wa mrembo huyo ambaye pia anadaiwa kuwa na bifu na muigizaji Lulu Michael,pia inasemekana Ana bifu la chini kwa chini na wema sepetu.

Jina la hamisa limekua dhahabu kwenye ulimwengu wa mastaa nchini, Kuzaa kwake na Diamond kunachangia kumuweka mrembo huyo kwenye umaarufu alionao sasa hivi. Pia Bifu lake na zari linazidi kumfanya mrembo huyo aongelewe zaidi kwenye mitandao ya kijamii.

Umaarufu alionao hamisa unaweza kumfanya awe millionea endapo akilitumia jina lake vizuri hili yasije kumkuta kama wema sepetu ambaye alikua na umaarufu mkubwa hapo awali na akashindwa kuutumia vizuri.

Warumi.
 
Karibu binamu
Tulikumiss sana humu jukwaani
 
Tununu anatumia nguvu kubwa kuusaka umaarufu. Wiki nzima kasingizia anaumwa kichaa. Baada ya zari na dai kwenda london naona kichaa kimepona full kurusha picha na video zake na mtoto
 
Tununu anatumia nguvu kubwa kuusaka umaarufu. Wiki nzima kasingizia anaumwa kichaa. Baada ya zari na dai kwwnda london naona kichaa kimepona full kurusha picha na video zake na mtoto
Ila tununu mwenzangu alizidi binamu, kipindi kile domo alivyokubal mtoto alikua anajishaua mno na kujiona queen, sasa hivi full stress yeye na dada ake mange hawana amani, wangekua na uwezo wangemuua zari
 
Kweli mashauzi yalizidi na kupenda sifa kuka mjaa saiv anajutia kilanga komo chake. Angekua na akili angejilia kimya kimya bila kutaka kukomoa watu na team zao
Ila tununu mwenzangu alizidi binamu, kipindi kile domo alivyokubal mtoto alikua anajishaua mno na kujiona queen, sasa hivi full stress yeye na dada ake mange hawana amani, wangekua na uwezo wangemuua zari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…