Hamisa Mobetto kuzimisha Nyota ya Wema Sepetu

Halafu anapenda chokochoko na sifa za mitandaoni. Hii picha angesubiria akashinda kesi aanze kuweka caption za hivi,mtu kila siku anamsema vibaya yeye yumo tuView attachment 627291
Mama dai nae kaweka ya kwakeView attachment 627293
Anachekesha sana huyu msichana [emoji23][emoji23][emoji23] sijui ndo kurukwa akili huko wanakosema. Maana sio kwa kujitutumua huku
 
well said,ngoja apambane na hali yake hamna namna.
 
Na vile hawana cha kupost kuhusu boss wao baasi wote wamehamishia kiki kwa hamisa ili kuendelea kupata followers na pesa za matangazo.
Halafu cha kuchekesha majority wanao msupport ni team wema. Nadhani na yeye watamchoka kama walivyomchoka boss wao wa mwanzo
 
Tununu alijua akizaa na diamond ndo atamkomoa zari, sasa hivi yamemtokea puani, anahaha kama mwehu, katakufa na presha *****, kupenda kuparamia vya watu kumemcost
Kupenda vya mteremko kama kitonga,Haoni wala hajisikii vibaya kuwa anazalishwa na kuachwa hapo,kama kwel super women alienda mahakamani kufanya nini,Anapenda kuzaa na watu wenye hela zao ili apat mafao,Haya kitumbua kimeingia mchanga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…