Hamisa Mobetto kuzimisha Nyota ya Wema Sepetu

Tununu anatumia nguvu kubwa kuusaka umaarufu. Wiki nzima kasingizia anaumwa kichaa. Baada ya zari na dai kwenda london naona kichaa kimepona full kurusha picha na video zake na mtoto
Na mtt nimemuona ana saaa ya maaan nahis ile ni gold nyeusi[emoji5] [emoji5] [emoji5] [emoji5] !!! Chibokooooo,
 
Natatizika kidogo ,kuna uhusiano wowote kati ya umaarufu wake na ongezeko la kipato chake ??
 
Mama mtu anasema ni ulinzi toka kigoma
Na mtt nimemuona ana saaa ya maaan nahis ile ni gold nyeusi[emoji5] [emoji5] [emoji5] [emoji5] !!! Chibokooooo,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…