Hamisa Mobetto kwenye penzi zito na Rick Ross, wapo Dubai wakila bata

Hamisa Mobetto kwenye penzi zito na Rick Ross, wapo Dubai wakila bata

Yaan whozu alikuwa anapita kwenye radio na kumkashfu utalinganisha na maisha ya mtu binafsi kimapenzi?
Sasa hapo misa yupo uchi mpk useme hamna heshima?
Walikua wanasema anafichwa kama Arvs Leo anaonesha hadharani wanamkashifu...wabongo tuna wivu mnoo na huyu binti walitaraji baada ya kuachwa na wasafi baasi angerudi mbagala kuuza kukaa juu ya mawe dogo anazidi kushine sanaa tu...nafsi zinawachonyota
 
Alipata akili ya kutanua wigo wa biashara yake😅 sema kwa mshindo wa Rick Rozey lazma aachwe vizuri tena ahakikishe kambebea na mimba kabisa ili avune zile child support za million 50 kila mwezi!
Na mimba kabisa😂, yaani itakua kila mtoto na baba yake 🙄 anavuna child supports tu
 
Walikua wanasema anafichwa kama Arvs Leo anaonesha hadharani wanamkashifu...wabongo tuna wivu mnoo na huyu binti walitaraji baada ya kuachwa na wasafi baasi angerudi mbagala kuuza kukaa juu ya mawe dogo anazidi kushine sanaa tu...nafsi zinawachonyota

Mpaka sasa kinachonishangaza ni Wanaume kuwa na makasiriko zaidi kuliko hata wanawake.Hamisa kwa sasa ni level nyingine,hata akiachwa na Ross bado keshampatia platform kubwa sana.Haijalishi ni ya kudanga au fursa zingine (kama hiyo ya kinywaji cha Bellaire maana Hamisa anaonekana kwa hiyo page akitangaza hicho kinywaji) lakini huyu binti kwa sasa kina Wema Sepetu wakae pembeni waone mwenzao anavyotumia fursa vizuri.
 
Dada warumi angekuwepo angeleta kitu full package ......R.I.P ulikua unatupa umbea hata tusiopenda tukaanza kusoma tu
 
Mademu wa kimarekani wanazinguwa sana, kwahiyo akikutana na demu wa Kibongo anajiona yuko dunia nyingine.

Nchi zilizowapa haki za kupitiliza wanawake ni tatizo.
Hata huku mkuu miaka si mingi mambo ya kijinga yatafanyika ndo itakua sio ishu
 
Mpaka sasa kinachonishangaza ni Wanaume kuwa na makasiriko zaidi kuliko hata wanawake.Hamisa kwa sasa ni level nyingine,hata akiachwa na Ross bado keshampatia platform kubwa sana.Haijalishi ni ya kudanga au fursa zingine (kama hiyo ya kinywaji cha Bellaire maana Hamisa anaonekana kwa hiyo page akitangaza hicho kinywaji) lakini huyu binti kwa sasa kina Wema Sepetu wakae pembeni waone mwenzao anavyotumia fursa vizuri.
Mnoo yuko vzr siku moja Niko na watu Fulani hivi machawa wa mastaa,wenyewe wadada wa mjini wanakuambia Misaa kwa sasa yuko juu hashikiki kwa level zetu,kwanza ile kutengeneza shepu tu wanatamani balaa...yaani washanyayua mikono juu!
Sasa kwa hili la Rick Rozi huko waliko wanatafutana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji2]!!!halafu sasa hivi katulia yaani hana time na mtu!ana circle ndogo ya watu wachache sana!!!
 
Sijaona mkwe. Kapost insta kwake?

Sent from my SM-A715F using JamiiForums mobile app
Eeh mkwe hyo hapo ...!!!!
Screenshot_20211127-091907.jpg
 
Mimi nampa heko huyu binti. Siyo kila siku kulia na akina Harmonize au Diamond. Anaenda kutafuta huko na analeta kuwekeza hapa nchini. Tumuunge mkono na kumpa mbinu ili asiwe kama Wema
kwa lugha ya kiwarsha,semina na makongamano ya "kimotivesheni spika", tunasema hamisa mobeto ni mjasiria-uchi.

wamwache binti wa watu atafute pesa za kigeni, aftarall one usd ni sawa na tsh2,303. akihongwa dola elf 3000 na rick ross, anarudi bongo daslamu na milioni sita na ushee.
 
Mnoo yuko vzr siku moja Niko na watu Fulani hivi machawa wa mastaa,wenyewe wadada wa mjini wanakuambia Misaa kwa sasa yuko juu hashikiki kwa level zetu,kwanza ile kutengeneza shepu tu wanatamani balaa...yaani washanyayua mikono juu!
Sasa kwa hili la Rick Rozi huko waliko wanatafutana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji2]!!!halafu sasa hivi katulia yaani hana time na mtu!ana circle ndogo ya watu wachache sana!!!

Hamisa amejiposition kama K-Lynn alivyofanya kwa Mzee Mengi.Kameshajiposition kwenye level flan,yani hawa kina Uwoya sijui Kajala na wengine wote hapa kwa Misa ni maji marefu kwa sasa.Hata Watandale wenyewe kwa sasa kimyaa,hapo sijamtaja yule Baby Mama Mkubwa aliyekuwa anamwita mwenzie “lowlife”.Najua kwa sasa kuna wengi sana wamepigwa na kitu kizito kichwani na huyu Binti[emoji3][emoji3]
 
[emoji23][emoji23][emoji23]Nadhani anatamani awe na mbususu Mwaume unapata wapi ujasiri kwa kudhani kwamba D hawezi kukataliwa na mke yoyote yule ina maana ana tamani angekuwa na mbususu asingekataa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Wanasema wanaume ndo wameumia Hamisa kwenda Dubai na tajiri kuliko sisi wanawake. Sasa unajiuliza hiyo hasira wako nayo ni ipi? Wanatamani wangekua na wao wanawake waliwe na mtu kama Rosey au ndo joto hasira wanaona hawamuwezi tena. Nawaza bado
Wana washwa washwa (in Magufuli's Voice)
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom