Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu ni mwanaume wa mkurangaView attachment 2029599Sijui ata mnaongelea Dar ipi na jukwaa lipi.
Hakika maana nawaonaga wanapita nikiwa pale kwenye kiduka cha masoko karibu na matrafficHuyu ni mwanaume wa mkuranga
Naww mmoja wao nini. Mbona km umepaniki flan ivi.Kwa hyo na wewe una wivu hamisa kuonewa wivu?
wewe Ni mgeni wa dar. Tangu lini mwanaume wa dar akachoma na kuuza mkaa.View attachment 2029599Sijui ata mnaongelea Dar ipi na jukwaa lipi.
KAZI IENDELEE!!Huyu ni mwanaume wa mkuranga
Si ajabu hapo umevaa kipedo.😁😁Haya yote kayataka JaKaya kufikisha umeme na broadband/mitandao vijijini. Toka mitandao ifikishwe huko siku mnaanza kufuatilia hao wadada poa na mnadhani mjini pia wanafuatilia huo upuuzi.
Lima mkuu...isijepitwa na mvua hizi za shida mwaka huu
Anayejua yy si mwanaume wa Dar Wala halalamiki. Huwezi kulalamikia jambo ambalo halikuhusu. 😁😁Nafikiri mkuu bado unaishi kwenye zile zama za kusadikika. Sample collection yako umefanyia wapi.
Au nasema uwongo ndugu. Aya mpe yule kaka pale maiki
Hapana.nashangaa hizi Tabia za kike.umezitoa wapiNaww mmoja wao nini. Mbona km umepaniki flan ivi.
Kumbe tuko wengi wasoma commentsNipo hapa kusoma comments tyuuh. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila wanaume wa dar hawajawazidi wa humu JF ni wambea xna na wanaa Tena wengi ni waganga wa kienyeji!
Haya kalime mapapai na magimbi basi mwenzetu mwanaume wa mkoani.Tangu Hamisa Mobeto iliposemekana alikuwa Dubai na RICK ROSS/Rich forever, Nimeonay huku jukwaani Kuna wanaume wanamwonea wivu.
Yani mtoto wa kiume unaona wivu Mobeto kutoka na jamaa. Mlitaka nyie muende Dubai mkale bata na Rick Ross?
Yaani Ni sawa na dada yako anaolewa halafu unaona wivu km vile ulitaka uolewe WEWE.
Hizi Ni dalili za wanaume kupungua au kupoteza uanaume wao.
Au nasema uongo ndugu zangu
Povu ruksa Ila liwe la omo.
Ushajenga Hata choo kwenu? Au uko hapo mjini unavaa vipedo tu km dada zako?Haya kalime mapapai na magimbi basi mwenzetu mwanaume wa mkoani.