Hamisa Mobetto kwenye penzi zito na Rick Ross, wapo Dubai wakila bata

Nafikiri mkuu bado unaishi kwenye zile zama za kusadikika. Sample collection yako umefanyia wapi.

Au nasema uwongo ndugu. Aya mpe yule kaka pale maiki
 
Haya yote kayataka JaKaya kufikisha umeme na broadband/mitandao vijijini. Toka mitandao ifikishwe huko siku mnaanza kufuatilia hao wadada poa na mnadhani mjini pia wanafuatilia huo upuuzi.
Lima mkuu...isijepitwa na mvua hizi za shida mwaka huu
 
Sio kweli jamani, kuna wanaume hapa hapa Dar hawajui hata kama Hamisa alikua Dubai na Rick Ross
 
Haya yote kayataka JaKaya kufikisha umeme na broadband/mitandao vijijini. Toka mitandao ifikishwe huko siku mnaanza kufuatilia hao wadada poa na mnadhani mjini pia wanafuatilia huo upuuzi.
Lima mkuu...isijepitwa na mvua hizi za shida mwaka huu
Si ajabu hapo umevaa kipedo.😁😁
 
Nafikiri mkuu bado unaishi kwenye zile zama za kusadikika. Sample collection yako umefanyia wapi.

Au nasema uwongo ndugu. Aya mpe yule kaka pale maiki
Anayejua yy si mwanaume wa Dar Wala halalamiki. Huwezi kulalamikia jambo ambalo halikuhusu. 😁😁
 
Haya kalime mapapai na magimbi basi mwenzetu mwanaume wa mkoani.
 
Haya kalime mapapai na magimbi basi mwenzetu mwanaume wa mkoani.
Ushajenga Hata choo kwenu? Au uko hapo mjini unavaa vipedo tu km dada zako?

Kilimo si dhambi mkuu, kinalipa njoo uwekeze. Ila utazimisi chipsi mayai na baada ya muda utakuwa mwanamme kamili.

Tatizo WATZ hamjadili hoja mnaruka ruka kwa paniki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…