Hamisa Mobetto, Mama Kanumba washerehekea Lulu kufungwa?

Hamisa Mobetto, Mama Kanumba washerehekea Lulu kufungwa?

Pamoja na yote, mshaurini huyu mama mwenzetu aweke akiba ya maneno. Mahakama ilifanya kazi yake. Yasije yakamgeuka tena. Hao vijana wanaomhoji siyo wote wana nia nzuri na yeye.

Aweke akiba ya maneno, asije akatoka mfungwa akabadili yeye.
 
Na yeye anatafuta umaarufu, mama mtu mzima kujidhalilisha na shilawadu unamuona yuko sawa kweli, kitendo cha yéyé kufurahi lulu kufungwa si cha kiungwana kabisa, hata marehemu kanumba atakua anasikitika, marehemu na lulu walikua wapenzi sio maadui, kanumba alikufa mazingira ya kimapenzi why amchukie lulu
 
Akakate rufaa ambayo itamweka lulu huru. Why anaongea mtaani hovyo issues za kimahakama?
 
Akakate rufaa ambayo itamweka lulu huru. Why anaongea mtaani hovyo issues za kimahakama?
Kisheria lulu ilikua lazima afungwe kutokana na kesi ya kuua bila kukusudia, ila kitendo cha mama kanumba kufurahiq hukumu ya lulu tena kwa kusema miaka miwili michache huo ni uchawi, akumbuke kanumba na lulu walikuwa wapenzi, anavyoropoka hovyo mitaani na kushindana na mtoto kama lulu, lulu alikua na haki ya kumuita Kubwa jinga
 
Natamani kuona hiyo movie,
Maana siku hizi bado Tanzania hatujui kutofautisha kati ya sinema na maigizo!
 
Watu wanasemaga Hamisa ni mnafiki nikajua wanamsingizia, jana ndo nimeamini, huu ukaribu wa Hamisa na mama Kanumba umeanza lini?

Hamisa alimpost Lulu akiwa jela na kumpa pole, leo anaonekana na familia ya Kanumba wakisherekea kwenye uzinduzi wa filamu yake mpya.

Je wanafurahia Lulu kuhukumiwa kifungo jela?

View attachment 632857
Ujnga tu unaonge...we hujaona Mama Kanumba alivyofurah Lulu huku aksema imetendeka na lini ushawai kuona urafk wa Lulu na Hamis ultakiwa utegemee ilo zen iyo n picha tu Mkuu
 
Umbea ulinipita, mi nilionq tu alivyopost tweeter kumwambia zari eti anawanyoosha mpaka wenyeji, kalulu nakenyewe kanamdomo wacha kanyee debe kidogo
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji2] [emoji2] [emoji1] ushaaanza
 
Mie nasubiri hukumu ya Lulu iishe! Kuna watu watatamani kuhama mji!
 
Back
Top Bottom