Hamisa Mobetto na wakwe zake washikana uchawi

JANA SIJALALA!
bora huku sikuingia!
mana nilikuwa nahama page kama mkimbizi!
NILIKUWA HOVES kwa kweli!
acha tu huku niingie sa hiz!ningeteguka viwiki vya vidole wallahi!
Mi hapa vidole vinauma balaaa....yaan Jana kujibu replies za mashost za kuniita kwenye page zote mbili ( mange vs wema)

Sina hamu, yaan hapa yenyewe siwezi kuflow....
 
Mtetee tu mama!ila Ukweli Wema bwana ndo nimeona rangi zake Leo!
Ila Mange bana!....eti muna kamuuza wema kwa wacongo wiki, muna karudi na Prado afuu wema karudi na ndoo ya sh.h.wa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji86] [emoji86] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ...yule mmama akikuchamba unaeza kutaka kujiua!
 
Mange mpumbavu

Wema mshenzi

Hamisa mpuuzi

Mama dai bandidu

Esma shankupe

Dai snitch tu

Nawewe unaenisoma hi comment lofa tu.

(Ona ulivyonuna ...povu hilo ngoja nilidake) chaaaa!!!
 
Ni aibu sana wanawake kuhangaika kwa waganga kisa wanaume.Zimeenda wapi zama za kuacha mtu akupende kwa matwakwa yake? Why mna force? Anyway, poleni kina kaka, hamna mnakoponea.

Misa anafosi sababu ya pesa mapenzi angemloga hata mtu wa uswazi wanawake wengi siku hizi wako after money
 
Siri ya mafanikio ya Dai anajua mama yake....
Dai hawezi kuoa hata siku moja kwa sababu ana spiritual wife...
Hata akioa mke atapata tabu sana huwezi kuolewa na mume wa mtu ukawa na amani...
Wasichana wanaotamani kufanikiwa wakae mbali na Dai ..sana sana wataambulia spirit of lust...mwishoni ni distruction
Hizi pesa jamani watu wanaamini maagano waliyonayo ndo mana hawajali tena mana mtake msitake mtakwenda tu....
Swali anaweza kufanya shoo bila zile pete????
Ushauri shetani hana rafiki hata uwe mwaminifu kwake kiasi gani....
Baraka za shetani ni temporary tu za Mungu ni hakika....
 
Mkuu una ushahidi gani na maneno yako? Maana mtu huwezi mjua mshirikina kama wewe sio mshirikina.
 
MTAZAMO WANGU: Sitaki kushuhudia nisiyo na uhakika nayo ila ile clip yaweza kuwa kweli au si kweli, mana ile sauti kwangu mimi ni ya hamisa kabisa, na pia kuna sauti ya mama yake mwanzoni, mana it seems like mama mtu ndie alianza kuongea na huyo mganga then akafatia huyo hamisa, sasa mnaosema imefojiwa, tunawauliza ile sauti ya mama ake hamisa nayo imefojiwa? (but still am not saying kwamba ni 100% wao japo kuwa nahisi ni wao). Kingine familia ya diamond kwa kweli si watu wale, yaaani nawaonea huruma sana wanawake wanaojichanganya na diamond, mana wale kwao hamna mwanamke mwema watakupenda leo kesho umeshakuwa mbaya, hawataki diamond amsikilize mtu mwingine isipokuwa wao hasa yule mama, na huyo esma ndo duuuh hatari. na kama circumstances zingekuwa vingine ningekuwa upande wa hamisa always mana hakuna asiowajua ndugu wa diamond walivyo, ila kwa yanayoendelea na yaliyokwisha tokea i dnt feel sorry for her, sana sana naona she deserve it, na nilishwahi kumwambia kwamba yatamkuta sana na nitashangilia hadi umbuko lake la mwisho, akaniblock, why nashindwa kumuhurumia hamisa? kwasababu baada ya yule dada kupata ujauzito wa dimaond na kujifungua aisee alihakikisha anamuumiza zari as if alizaa ili amkomoe zari, hadi watu wakawa wanajiuliza hii jeuru hamisa anaitoa wapi? mana maneno ya shombo na majigambo kila siku, ni kweli diamond ndo mwenye makosa mana alipaswa kumuheshimu zari na kutullia lakini umalaya ukamshinda kuacha, ila sasa huyo bi dada khaaaa, yani nilikuwa nashangaa nasema hivi huyu hamisa anamjua diamond vzr? anaijua hiyo familia vzr? anazani huyo mtoto wake yeye amekuja kuongeza nini ambacho wale watoto wa zari hawana mpaka ajiamini kiasi kile na kuona mwanamke mwenzie hafai yeyey ndo anafaa sana? aisee nilikuwa namshangaa sana, yeye kama nia yake ilikuwa ulimwengu ujue diamond amezaa nae ili mtoto wake atambulike na apate matunzo yanayostahili basi angedili na huyo diamond lakini sio kumtusi na kumrushia vijembe zari, nilikuwa najaribu kuvaa viatu vya zari nashindwa, nikasema tuombe uzima huyo dada yatamkuta, na yametimia, mana udhalilishaji na manyanyaso ambayo ameshayaptia kutoka kwneye familia ya diamond naona mpaka kufikia jana anaweza kuwa chizi
 
Hamisa karma yake imempata mapema fedheha aliyopata sio ya nchi hii kila mwanaume atamuogopa, jinsi alivo mfanyia Zarina aisee, mwanaume kuchepuka tu inaumiza, sasa mchepuko ndo awe chizi ka Hamisa mbona utajutraa, Hamisa next time aache nyodo na wapenzi wa watu.
 
Mkuu una ushahidi gani na maneno yako? Maana mtu huwezi mjua mshirikina kama wewe sio mshirikina.
Sio kila ufahamu watoka kwa shetani.....jiongeze tu. Namuamini Mungu inatosha. Soma Mithali 1:7
 
Sio kila ufahamu watoka kwa shetani.....jiongeze tu. Namuamini Mungu inatosha. Soma Mithali 1:7
Acha uongo mkuu, usiongee kwa uhakika kabisa mambo ambayo haya onekani. Maswala ya kichawi huwezi ya ongelea kwa uhakika kama wewe sio mchawi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…