Hamisa Mobetto na wakwe zake washikana uchawi

Hamisa Mobetto na wakwe zake washikana uchawi

Inawezekana ingawa wanasema hamissa alipewa no na shoga ake.

Ila Hamissa unakumbuka wakina cynthia walimtoa kwenye show after kukutwa nyumbani kwa cynthia anafanya dawa? Yaani issue zake hapigi mahesabu vizuri anakurupuka.

Sent using Jamii Forums mobile app

Say what now? Basi haka katoto kameishiwa kimaisha, ni bora ahame nchi tu aende Nigeria walikokubuhu ushirikina, hapa Bongo hana tena thamani.
 
Huu ubuyu nimeupata mda sana,kila nkija huku haujawekwa, mama ni mwalimu na ndo wanaoturekebisha tunapokosea ila kwa hamissa ni tofauti kabisa, yaani naona wanaona maisha hayawezi kwenda bila Diamond.

Mademu wa kibongo kwa kweli maisha yamewashinda. Alianzaga Wema kumroga Diamond akishirikiana na Aunty Ezekiel, na sasa haka kademu. Yaani mtu unashindwa hata kuendesha maisha yako eti unamtegemea mtu, ataishi hivi mpaka lini, kuna kesho na keshokutwa Diamond hatakuwepo.
 
Kweli ma Dada duu kwa kwenda kwa waganga ni hatari, hafu Hamisa anaenda had Bagamoyo, sasa hata isingekuwa mama mond sikuhizi had vijijini taarifa zinafika aisee, Hamisa aachane na ushirikina you can't force love, sijui ununuliwe nyumba huku una behave vibaya, sasa na mama dangote akimuendea kigoma Mobetto si ndo atachanganyikiwa atulie alee wanawe. Mana kushindana na mama mkwe yataka moyo

Sent using Jamii Forums mobile app

Huyu Hamisa inabidi akamatwe tu na kufundishwa kuwa mtu kama hana nia nawe usijilazimishe kwa kumuendea kwa waganga ili akuoe kwani kuna wengine wamekingwa hadi mapumbu, unaroga kumbe unajiua ama kujiroga mwenyewe kwa kujipachika mikosi ya kuto olewa unabaki kuwa kipozeo cha wengine kutwa kucha. Hapa asipojiua mwaka huu basi inabidi arudi kijijini tu akalime, kwa Dar kajilostisha ile mbaya.
 
Raynavero unampenda hamissa ila kwa hili hapana ungeongea ukweli khaaa!![emoji23][emoji23][emoji23]

Huyo ni hamissa kweli ....kabisa kwa hili awe mpole tu!

Halafu why hamisa akumng'ang'ania majizzo kama anavyomng'ang'ania Diamond?

Si angetulia kwa yule wa SBL kama Mond haeleweki?

Nilikua nampenda ila anachosha sana aisee mpaka unahisi anazaa ili awatumie watoto kiuchumi.

Sent using Jamii Forums mobile app

Maisha ya maigizo yalimshinda Wema na sasa yanelekea kumshinda Hamisa, tena vibaya sana. Hili liwe fundisho kwa mademu wa kibongo, ya nini kung'ang'ania penzi usilostahili, khaaaa?
 
Huyu Hamisa inabidi akamatwe tu na kufundishwa kuwa mtu kama hana nia nawe usijilazimishe kwa kumuendea kwa waganga ili akuoe kwani kuna wengine wamekingwa hadi mapumbu, unaroga kumbe unajiua ama kujiroga mwenyewe kwa kujipachika mikosi ya kuto olewa unabaki kuwa kipozeo cha wengine kutwa kucha. Hapa asipojiua mwaka huu basi inabidi arudi kijijini tu akalime, kwa Dar kajilostisha ile mbaya.
Ana mloga mtu mwenyewe chibu anavosifika kwa ushirikina usio wa kawaida
 
Wanawake wengi si wa bongo movie tu ila asili kubwa ya wanawake hapa Bongo wanaroga tena sana tu. Huyu Hamisa si kama kasingiziwa, anaroga haswa ili apendwe na familia ya Diamond kisha aolewe. It's very pathetic for her, penzi lahina dawa, Mama yake ilibidi amwambie kuhusu hili.
u
Mi nilikuwa najuaga kuroga ni hadithi tu ila nikienda saloon madada duu wakianza story had utashangaa hadi wamama watu wazima, hafu mbaya waganga eti hupaka dawa awaingizie kwa dudu huyo mganga ka si mhuni nini anatamani, mi huo ujinga ulishanishinda aisee,
 
Alimfanyia nini zari? Zari alimuacha mume na watoto watatu akamfata mtoto mdogo unaona ni haki? Hata zari karma yake ilimpata mapema zaidi
Zari aliachanaga na Ivan siku nyingi, though ule ujinga alokuwa anafanya na diamond ulimuumiza Ivan, uzuri na yeye diamond kaja kumuumiza kupitia hamisa, tena mapenzi yamemuumiza Zari kuliko kifo cha mumewe na mamake, maana siku ya msiba wa mamake alikuwa anatekenywa tu na Diamond
 
Naona timu tukianao kama kawaida kueneza simu kwa Misssa [emoji23][emoji16][emoji16][emoji16]nacheka kichinaaa!!poleni aiseeh!nasema mtapata tabu sanaa!!!

Leo mnaweka na viporo pyeeree
 
Say what now? Basi haka katoto kameishiwa kimaisha, ni bora ahame nchi tu aende Nigeria walikokubuhu ushirikina, hapa Bongo hana tena thamani.
Kuhusu uchawi hawa wabongo muvi kama huwajui kaa kimya[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]!!tunaowajua mpk waganga wao!hakuna asie mshirikinaa
 
Hilo lajulikana ila sio kua nampenda sana Missa hapana!!ila Wema tukubali anamchukia Misa waziwazi yaani ugomvi wa Hamisa lazima ashadadie halafu mange ndo hua anamuingiza Missa but Missa hajawahi mtukana wema labda kwa siri ila hadharani sijaskia yaani Wema anaumwa jamani na Missa kuliko ilivyo!!!

Hua wanapewa maswali ndio sikatai ila nafikiri yule alifanyiwa manuva yenyewe yotee!

[emoji23] [emoji23] Wema nampenda a anazingua sana mjini!
Tatizo huyo cha uchawi nayeye kazidi kujidhalilisha kwanini nyie team yake msimshauri
 
Huyu Hamisa inabidi akamatwe tu na kufundishwa kuwa mtu kama hana nia nawe usijilazimishe kwa kumuendea kwa waganga ili akuoe kwani kuna wengine wamekingwa hadi mapumbu, unaroga kumbe unajiua ama kujiroga mwenyewe kwa kujipachika mikosi ya kuto olewa unabaki kuwa kipozeo cha wengine kutwa kucha. Hapa asipojiua mwaka huu basi inabidi arudi kijijini tu akalime, kwa Dar kajilostisha ile mbaya.
Wewe kwa sakata La uchawi ndo arudi kijijin nambie msanii gani harogii!![emoji16][emoji16]punguza chuki kakaaa
 
Back
Top Bottom