Hamisa Mobetto na wakwe zake washikana uchawi

Hamisa Mobetto na wakwe zake washikana uchawi

Hyo ya Misa kuchanganyikiwa niliskia aisee ndo alipelekwa had mbagala, mama chibu naye mwenzake hajapona operation unamuongezea ukichaa kah. Hii familia ya Dangote nao ni wanga IPO siku nao wataumbuliwa tu kuanzia diamond
Washirikina kuliko unavyodhani my dear!!!tena wenyewe ule!alienda kuponea Tangaa Hamisa!!mama diamond alitaka awe chizi yule mama hafai Zari alikua anamng'ang'ania dai kaenda South yule mama karudi tu Ua jeusi juu!!Hamisa anaambiwa Mwanga!
 
Hamisa aachane nao asije kufa bure, kwanza wameona kawa balozi basi wamemuanzishia zengwe. Hamisa naye akome.

Bibi tiffah kiboko alienda kwa zari kujifanya anakaa na mjukuu kumbe anafanya yake washirikina ni hatari aisee
 
Kumbe je!!yaani hamisa angepoa wale hawezi waweza hata kidogo watu wa kigoma washirikina mnoo!!!Hawawezi hata mbuni!!

Wale wanatamanj Hamisa awe hana direction kama Wema vile sasa kwa kua yuko busy na mambo yake wanaumia vibaya mnooo!
 
Kuna mwaka nimeenda tanga, wilaya ya handeni , kijiji kimoja nimekihifadhi jina.

Nilikutana na wasanii wa Bongo flavour wakubwa wakiwa kwa waganga wa Jadi. Sio siri. Nilipata kuuliza mwenyeji wangu sikuamini niliyoambiwa. Mpka Leo nilijiapiza sitakuja kumuamini binadamu yoyote kutokana na kumkuta msanii ambae sikutarajia ningemkuta kwenye mazingira Yale.

Huyo msanii kwa sasa amehamia kwa Trump na aliooa wale mabinti kutoka kwa uncle kagame. SIKUAMINI JAMANI.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ambwene[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Naona team Hamissa wakiongozwa na original east wameanzisha kampeni ya kumchangia hamissa Dollar 10000 naona wapo kwenye approximately Dollar 4000 now hizi team hizi ha ha ha
Wanataka kodi ya nyumba wamuamishe kwenye ghorofa ya mondi
 
Kumbe je!!yaani hamisa angepoa wale hawezi waweza hata kidogo watu wa kigoma washirikina mnoo!!!Hawawezi hata mbuni!!

Wale wanatamanj Hamisa awe hana direction kama Wema vile sasa kwa kua yuko busy na mambo yake wanaumia vibaya mnooo!
Hawapendi Hamisa ashine wanataka wamfanye ka nyumbu
 
Hamissa ndumba zake zatua kwa Trump kaalikwa na ex wa rick Ross
Screenshot_2018-09-05-19-40-39.jpg
 
Wameripoti misukule imefutwa kaliwa na Ivan week nzima bibie South Huko alienda na kadinda lengo amrushe roho Zarina Hassana Tlale[emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]kaambuliwa kuliwa akawa anamtuma Kadinda amuombe pesa Ivan...hakupewa bibie hah[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]!!mjini sihamiii!

[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Haaaahaaaa uwiii....limange linajua siri nyingi sana za Wema..nyingi mnoo!
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wit una nini!! Eeh Mungu weee!aiseeh Mange hapana ile degree yake ni ya michambo sijui anayotaga wapi Yale maneno kaahh
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]...mange ana MBA but huwaga nahisi anatudanganya itakuwa ana master ya vichambo[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Jana sijalala yaan...haaahaaa
 
Back
Top Bottom