Hamisa Mobetto na wakwe zake washikana uchawi

Hamisa Mobetto na wakwe zake washikana uchawi

Hyo ya Misa kuchanganyikiwa niliskia aisee ndo alipelekwa had mbagala, mama chibu naye mwenzake hajapona operation unamuongezea ukichaa kah. Hii familia ya Dangote nao ni wanga IPO siku nao wataumbuliwa tu kuanzia diamond
Missa alizaa kwa operation?
 
Washirikina kuliko unavyodhani my dear!!!tena wenyewe ule!alienda kuponea Tangaa Hamisa!!mama diamond alitaka awe chizi yule mama hafai Zari alikua anamng'ang'ania dai kaenda South yule mama karudi tu Ua jeusi juu!!Hamisa anaambiwa Mwanga!
Aseee kweli tupu!
 
Naona team Hamissa wakiongozwa na original east wameanzisha kampeni ya kumchangia hamissa Dollar 10000 naona wapo kwenye approximately Dollar 4000 now hizi team hizi ha ha ha
Wanataka kodi ya nyumba wamuamishe kwenye ghorofa ya mondi
Afadhali.... Usema kweli timu ya missa iko for real yaaan...thumb up!

Achangishe wema tuone kama atapata Hata mia?....mdada kapokea kichambo ndo nikajua kuwa wema hapendwi asee!
 
Haaaahaaaa uwiii....limange linajua siri nyingi sana za Wema..nyingi mnoo!
Kama zote yaani Wema Leo anajikaza tu ila akisema aweke mezani data anajificha uvunguni nakumbuka mwanzo alisema Wema mradi wa lipstick kahongwa sijui na dk nani...mmesahau halafu mkewe Wema anajifanya kumuita Dada kumbe mwizi wa mumewe!![emoji16][emoji23][emoji28][emoji23][emoji16]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]...mange ana MBA but huwaga nahisi anatudanganya itakuwa ana master ya vichambo[emoji23] [emoji23] [emoji23]


Jana sijalala yaan...haaahaaa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] balaa yule sijui anatoa wapi maneno machafu kama Yale!

Mi nililala nkajua ntaukuta repost tuu!!maana WW3 ulikua janaa!
 
Ustrong mbele ya maiti ya mamaake???...yule mmama ana kasoro kubwa sana! Kwa binadamu wa kawaida huwezi fanya kitendo kama kile! Hata wazungu don't care huwa wana limit kwenye uzungu wao!
Exactly sio kwenye msiba mnashikana vile halafu na hawara yako sio mumeo hapana!hata mume sio kihivyo!

Mungu amempiga Kofi moja takatifu sanaa!kiko wapiii!mwanaume wa kukufanya udharau msiba wa mzazi wakoo!!
 
Exactly sio kwenye msiba mnashikana vile halafu na hawara yako sio mumeo hapana!hata mume sio kihivyo!

Mungu amempiga Kofi moja takatifu sanaa!kiko wapiii!mwanaume wa kukufanya udharau msiba wa mzazi wakoo!!
Usema kweli toka afanyage kile kitendo naonaga dish limeyumba.....mmama mtu mzima hata binti mdogo hawezi fanya vilee!
 
Afadhali.... Usema kweli timu ya missa iko for real yaaan...thumb up!

Achangishe wema tuone kama atapata Hata mia?....mdada kapokea kichambo ndo nikajua kuwa wema hapendwi asee!
Team Missa hapana wanajiweza daah!yani wanampenda kweli maana wanatoa pesa jamani ujue miye sijaamini![emoji23][emoji23][emoji16][emoji16]Wema akiona vile anazidi kuumia na mama dangote wake!

Wamejipanga team Wema bday wachange elf30 per head!!wanapigana mikwara balaa!inawashinda
 
Back
Top Bottom