Hamisa Mobetto na wakwe zake washikana uchawi

Hamisa Mobetto na wakwe zake washikana uchawi

Haaahaaa .....heee kumbe ilikuwa hivyo?[emoji15]
Yap yap kuna mama alihojiwa kua kazaa na gwajima,ile clip makonda akataka irushwe ijumaa ktk shilwadu,sasa wao wakaona haikidhi hajaa ya kurusha makonda akawapigia simu why hawairushi wakampa sababu si ndo akaenda na wajeda kuvamia mpk studio ya clouds akaondoka na ile CD ya mahojiano akasambaza mwenyewe makonda mtandaonii...sasa mange akamuambia ruge ntawavua nguo clouds woteeee!msipomuomba radhi gwajima kwa uongo kikaitwa kikao cha dharura na wao wakarusha clip za CCTV zinaonyesha makonda anaingia studio kuwatisha shilawadu!

Hapo Soudy alishaanza kuchambuliwaa
 
Ana mloga mtu mwenyewe chibu anavosifika kwa ushirikina usio wa kawaida

Chibu ni mchawi ile mbaya, bibi yake upande wa Mama yake anasifikana kule Ujiji, bi Sandra anajuwa sana na najuwa hapa anasoma huku akicheka kwa raha zake mwenyewe.
 
[emoji16][emoji23][emoji23][emoji23]naona ex wa hamisaa akipunguza maumivu!!

Hamisa sijawahi kukutongoza hata siku moja, wacha kujipa ujiko. Nenda karoge tu uzidi kukamatwa na jamii ikucheke. Umempa Mama yako haibu mbaya sana kwa uchawi huu ulionao.
 
Ashindane na Zari kivipi?

Zari ana 36 yeye ana 25 wapi na wapi!

Kaka hebu kaa tu kimya ndugu yangu!hakuna asiyeambiwa mchawi sasa kwa taarifa yako hata Zari aliambiwaga mchawi bibi Sanura akasemaga kigoma hatoki boii!!

Swali hili ilibidi ujiulize wewe, kwa nini ashindane na Zari wakati she's too young, useless and brainless mpaka atumie nguvu za giza? Huwezi ishi mjini kwa kung'ang'ania kuolewa na mtu asiyekutaka kwani hakuna mwanamme anayetaka kuwa na mwanamke anayezaa na wanaume tofauti tofauti as Hamisa is. Mwache aroge tu mwisho wake atauona mwenyewe kwani kuna wanaume wengine hawarogeki.
 
Kwa hiyo unaona poa kwa dada yako Hamisa kuwa mchawi? Huyu demu kila mtu anamzungumzia kuwa ni staa uchwara anayeroga wenzie na kutaka kuwa juu kupitia nguvu za giza. Fikiria aje kuroga kaka yako na ukoo wako mzima ili mumpende changudoa, wewe utamfikiriaje mchawi kama Hamisa?
 
Kuhusu uchawi hawa wabongo muvi kama huwajui kaa kimya[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]!!tunaowajua mpk waganga wao!hakuna asie mshirikinaa

Wewe ndiye uliyemponza Hamisa, hivi Bagamoyo ni sehemu gani mnakwendaga kuroga vile?
 
Alimfanyia nini zari? Zari alimuacha mume na watoto watatu akamfata mtoto mdogo unaona ni haki? Hata zari karma yake ilimpata mapema zaidi
Zari alishadate wanaume kadhaa kabla ya kukutana na naseeb!
MSIMPATILIZE UBAYA ASOKUWA NAO!
KHAAA! ANA NYODO ZAKE ILA HAKUACHA MUME NA WATOTO WA TATU ILI AWE NA HUYO KD WENU!
 
Mi nilikuwa najuaga kuroga ni hadithi tu ila nikienda saloon madada duu wakianza story had utashangaa hadi wamama watu wazima, hafu mbaya waganga eti hupaka dawa awaingizie kwa dudu huyo mganga ka si mhuni nini anatamani, mi huo ujinga ulishanishinda aisee,

Duniani wasanii dizaini ya Hamisa wako wengi tu kwani hata wachungaji na masheikh wasanii wapo sana tu. Kina Gwajima na TB Joshua wanaroga sana waumini wao.
 
Yap yap kuna mama alihojiwa kua kazaa na gwajima,ile clip makonda akataka irushwe ijumaa ktk shilwadu,sasa wao wakaona haikidhi hajaa ya kurusha makonda akawapigia simu why hawairushi wakampa sababu si ndo akaenda na wajeda kuvamia mpk studio ya clouds akaondoka na ile CD ya mahojiano akasambaza mwenyewe makonda mtandaonii...sasa mange akamuambia ruge ntawavua nguo clouds woteeee!msipomuomba radhi gwajima kwa uongo kikaitwa kikao cha dharura na wao wakarusha clip za CCTV zinaonyesha makonda anaingia studio kuwatisha shilawadu!

Hapo Soudy alishaanza kuchambuliwaa
Huuuhuuuu....hataree sana!
 
Back
Top Bottom