witnessj
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 28,704
- 47,260
Shule ipo pale tena nzuri tuu...sema kafyatuka, yaan ni mtamboMange
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shule ipo pale tena nzuri tuu...sema kafyatuka, yaan ni mtamboMange
Yap yap kuna mama alihojiwa kua kazaa na gwajima,ile clip makonda akataka irushwe ijumaa ktk shilwadu,sasa wao wakaona haikidhi hajaa ya kurusha makonda akawapigia simu why hawairushi wakampa sababu si ndo akaenda na wajeda kuvamia mpk studio ya clouds akaondoka na ile CD ya mahojiano akasambaza mwenyewe makonda mtandaonii...sasa mange akamuambia ruge ntawavua nguo clouds woteeee!msipomuomba radhi gwajima kwa uongo kikaitwa kikao cha dharura na wao wakarusha clip za CCTV zinaonyesha makonda anaingia studio kuwatisha shilawadu!Haaahaaa .....heee kumbe ilikuwa hivyo?[emoji15]
Mcheza show wa fm academia lbd km kaacha sasaHuyo Juma Lokole mbona ni maarufu sana aisee (ana shughuli gani mjini)
[emoji23] [emoji23] [emoji3] [emoji3] [emoji3] mbona shabaash!!Cha ajabu hamisa anamuitaga sema "da wema" shabaash!!!!
Dua njema hii ameenWanaume Mungu awasaidie
Ana mloga mtu mwenyewe chibu anavosifika kwa ushirikina usio wa kawaida
Ex wa hamisa wewe wallahi!!poleeee!!!
[emoji16][emoji23][emoji23][emoji23]naona ex wa hamisaa akipunguza maumivu!!
Ashindane na Zari kivipi?
Zari ana 36 yeye ana 25 wapi na wapi!
Kaka hebu kaa tu kimya ndugu yangu!hakuna asiyeambiwa mchawi sasa kwa taarifa yako hata Zari aliambiwaga mchawi bibi Sanura akasemaga kigoma hatoki boii!!
Kuhusu uchawi hawa wabongo muvi kama huwajui kaa kimya[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]!!tunaowajua mpk waganga wao!hakuna asie mshirikinaa
Zari alishadate wanaume kadhaa kabla ya kukutana na naseeb!Alimfanyia nini zari? Zari alimuacha mume na watoto watatu akamfata mtoto mdogo unaona ni haki? Hata zari karma yake ilimpata mapema zaidi
Mi nilikuwa najuaga kuroga ni hadithi tu ila nikienda saloon madada duu wakianza story had utashangaa hadi wamama watu wazima, hafu mbaya waganga eti hupaka dawa awaingizie kwa dudu huyo mganga ka si mhuni nini anatamani, mi huo ujinga ulishanishinda aisee,
Huuuhuuuu....hataree sana!Yap yap kuna mama alihojiwa kua kazaa na gwajima,ile clip makonda akataka irushwe ijumaa ktk shilwadu,sasa wao wakaona haikidhi hajaa ya kurusha makonda akawapigia simu why hawairushi wakampa sababu si ndo akaenda na wajeda kuvamia mpk studio ya clouds akaondoka na ile CD ya mahojiano akasambaza mwenyewe makonda mtandaonii...sasa mange akamuambia ruge ntawavua nguo clouds woteeee!msipomuomba radhi gwajima kwa uongo kikaitwa kikao cha dharura na wao wakarusha clip za CCTV zinaonyesha makonda anaingia studio kuwatisha shilawadu!
Hapo Soudy alishaanza kuchambuliwaa
Pole yake kweliPolee