Hamisa Mobetto na wakwe zake washikana uchawi

Mnoo!yaani acha tu!mi sishangai kuroga..nashangaa mganga asiye na siri za wateja![emoji23] [emoji23] [emoji23]
Halafu mbona Ma mobetto na hamisa hata hawajaongea kwa ubaya?... Ubaya ni kumloga mtu ili aharibikiwe! Sasa mtu anataka tu mambo yake yamnyookee na peace that's all!

Mama mobetto mstarabu sana yule mama!

Uwiiii kwa Domo Jana ndo nimegundua ni kiasi gani anamchukia hamisa khaa! Si kwa kichambo kile Mungu wangu....asee Domo hampendi hamisa hata kidogo yaaan!
 
Hampendi na lengo ni kumdhalilisha tu!mwanaume anaekupenda hata robo hafanyi ule ujinga!

Ila diamond ni mshenzi sana nakumbuka walishawahi kumrekodi Wema kipindi yuko na Penny!ujue ndo neno la tuache tulale lilipoanzia!!

Wakarusha kwa gossipcop soudy brown!!
 
Haaahaaaaahaaa....wema akubali tu wakati wake umepita tiyari....

Zari nae katia timu haaahaaa Dada masikio yote bongo
Inauma unapitwa kila kitu,akili huna!watoto huna...!!!lazima upagawe,mume huna utapata wapi farajaa
 
Kama zote yaani Wema Leo anajikaza tu ila akisema aweke mezani data anajificha uvunguni nakumbuka mwanzo alisema Wema mradi wa lipstick kahongwa sijui na dk nani...mmesahau halafu mkewe Wema anajifanya kumuita Dada kumbe mwizi wa mumewe!![emoji16][emoji23][emoji28][emoji23][emoji16]
Tatizo la Mange ndiyo hilo mkishibana sana anakutunzia siri hata ujinga hata hashauri ila mkikosana tu ukitulize ukimchokonoa umekwisha.
Wema alimwamini sana Mange siri zake zote alimpa, haya yote ya Ivan Mange anadai ni nyumbu mwenyewe alikuwa anamsimulia kuwa alikuwa kwa Ivan kakuta ana govi, mambo ya wakongo and so forth na hapo kuna mengine mengi mange ana mstahi na mengine anaandika na kufuta anasingizia insta wakati wema anamfuata DM kumwomba afute.

Hii vita Wema hawezi shinda kwa sababu hiyo
 
Hampendi na lengo ni kumdhalilisha tu!mwanaume anaekupenda hata robo hafanyi ule ujinga!

Ila diamond ni mshenzi sana nakumbuka walishawahi kumrekodi Wema kipindi yuko na Penny!ujue ndo neno la tuache tulale lilipoanzia!!

Wakarusha kwa gossipcop soudy brown!!
Yes yes I do remember!...wema alijiliza ili warudiane na naseeb! Haeshimu wanawake huyu jamaa!

Hamisa asake life yake tu ile familia aachane nayo mazima! Sasa yule Dylan anavyompeleka huko si ndio watammaliza?
 
Hamisa ni zwazwa tu ata wewe unajua
 
Tatizo la Mange ndiyo hilo mkishibana sana anakutunzia siri hata ujinga hata hashauri ila mkikosana tu ukitulize ukimchokonoa umekwisha.
Wema alimwamini sana Mange siri zake zote alimpa, haya yote ya Ivan Mange anadai ni nyumbu mwenyewe alikuwa anamsimulia kuwa alikuwa kwa Ivan kakuta ana govi, mambo ya wakongo and so forth na hapo kuna mengine mengi mange ana mstahi na mengine anaandika na kufuta anasingizia insta wakati wema anamfuata DM kumwomba afute.

Hii vita Wema hawezi shinda kwa sababu hiyo
[emoji3][emoji3]mange ndo maana kuna watu wanaogopa kumnawa wanakaa kimya sio kua wanashindwaa hapana siri zao zitakua hadharani!

Kwani makonda ma ruge chanzo cha ugomvi nini??

Aliwaambia mabosi wa clouds nawapa masaa tu mumuombe radhi gwajima la sivyo anatoa siri zao woteeee!!ndo wakaisambaza clip ya makonda kuvamia clouds
 
Yes yes I do remember!...wema alijiliza ili warudiane na naseeb! Haeshimu wanawake huyu jamaa!

Hamisa asake life yake tu ile familia aachane nayo mazima! Sasa yule Dylan anavyompeleka huko si ndio watammaliza?
Akili hana Hamisa we Yale machawi kabisaa anampeleka mwanawe hapana
 
Tatizo la Mange ndiyo hilo mkishibana sana anakutunzia siri hata ujinga hata hashauri ila mkikosana tu ukitulize ukimchokonoa umekwisha.
Wema alimwamini sana Mange siri zake zote alimpa, haya yote ya Ivan Mange anadai ni nyumbu mwenyewe alikuwa anamsimulia kuwa alikuwa kwa Ivan kakuta ana govi, mambo ya wakongo and so forth na hapo kuna mengine mengi mange ana mstahi na mengine anaandika na kufuta anasingizia insta wakati wema anamfuata DM kumwomba afute.

Hii vita Wema hawezi shinda kwa sababu hiyo
Mmmh Wema anamfata DM? Sidhani mange angemuumbua tuu!
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]...mange ana MBA but huwaga nahisi anatudanganya itakuwa ana master ya vichambo[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Jana sijalala yaan...haaahaaa
Yule haonekani hata km form four kamaliza
 
[emoji3][emoji3]mange ndo maana kuna watu wanaogopa kumnawa wanakaa kimya sio kua wanashindwaa hapana siri zao zitakua hadharani!

Kwani makonda ma ruge chanzo cha ugomvi nini??

Aliwaambia mabosi wa clouds nawapa masaa tu mumuombe radhi gwajima la sivyo anatoa siri zao woteeee!!ndo wakaisambaza clip ya makonda kuvamia clouds
Haaahaaa .....heee kumbe ilikuwa hivyo?[emoji15]
 
Back
Top Bottom