Wadada wa mjini kwa waganga utawaweza shoo!!wanaroga balaaHii case ya mobetto kwenda kwa waganga niliskia nikiwa saloon like one months ago nikiwa saloon, tena huyo Dada alimkuta kwa mganga, ama kweli nilikuwa najuaga watu hawaendi kwa waganga kumbe, waenda kuroga kazi ipo kwa madada duu a. K. A slay queen wa mjink
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji3][emoji16][emoji16]sio yeye Mimi akili inagoma kabisaa kwa sababu naona kabisaa ule ni mtego hakuna mganga wa vile bwanaa!!mi nakuambia kweli!sikatai kua harogi ila yule si yeye!Raynavero unampenda hamissa ila kwa hili hapana ungeongea ukweli khaaa!![emoji23][emoji23][emoji23]
Huyo ni hamissa kweli ....kabisa kwa hili awe mpole tu!
Halafu why hamisa akumng'ang'ania majizzo kama anavyomng'ang'ania Diamond?
Si angetulia kwa yule wa SBL kama Mond haeleweki?
Nilikua nampenda ila anachosha sana aisee mpaka unahisi anazaa ili awatumie watoto kiuchumi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hili nalo neno hili!si unajua bi Sanura alivyo na mambo ya kinyume nyume mtu wa kigoma yulee!!Hapa kuna kaharufu pengine hamisa alishapelekwa na mamkwe kipindi Dai yuko na Zari
Mi nakuambia Hamisa anaroga ila yule si yeye ukweli utajulikana tu!yaani mganga wako huwezi Fanya ule upuuzi!yaani wale wamefake sanaKweli ma Dada duu kwa kwenda kwa waganga ni hatari, hafu Hamisa anaenda had Bagamoyo, sasa hata isingekuwa mama mond sikuhizi had vijijini taarifa zinafika aisee, Hamisa aachane na ushirikina you can't force love, sijui ununuliwe nyumba huku una behave vibaya, sasa na mama dangote akimuendea kigoma Mobetto si ndo atachanganyikiwa atulie alee wanawe. Mana kushindana na mama mkwe yataka moyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Ujinga tu kuhisi huwezi kuishi bila Fulani wadada wa mjini nao wapunguze ndumba kaah!Huu ubuyu nimeupata mda sana,kila nkija huku haujawekwa, mama ni mwalimu na ndo wanaoturekebisha tunapokosea ila kwa hamissa ni tofauti kabisa, yaani naona wanaona maisha hayawezi kwenda bila Diamond.
Hahaaa[emoji3][emoji16][emoji23]hii ndo naisikia kwako!kumbeee!Inawezekana ingawa wanasema hamissa alipewa no na shoga ake.
Ila Hamissa unakumbuka wakina cynthia walimtoa kwenye show after kukutwa nyumbani kwa cynthia anafanya dawa? Yaani issue zake hapigi mahesabu vizuri anakurupuka.
Sent using Jamii Forums mobile app
sawa tunasubiri akashtaki walaa haina shida akikaa kimya kwa hili ntaamini kweli ni yeye!uache mahaba dada
Mbona huzungumzii mama yake hamisa?,anbaye mie naifahamu sauti yake ndio hiyo kwenye simu anaomba usaidizi wa mganga badala ya Mungu
Sio siri kwa Hamisa ametegesha mimba,ili afaidike kupitia mtoto
Sio siri kwamba hamisa analazimisha na yeye anunuliwe ghorofa kama la zarina
Sio siri kwamba Hamisa anatumia sana ndumba nangai kumvuta Diamond
Huyo mganga aweza kuwa ni Juma lukole kweli,ametumika kummaliza hamisa
kama hamisa anabisha akashitaki ndio hapo watu wa voda wataleta ushahidi wa clip
siku zote uchawi kwenye mapenzi haudumu
Upuuzi sana kutegemea wagangaHamisa akifikisha 40 lazima awe mganga duh aliloga had Zari akabwaga manyaga aisee. Sometimes vtu vingine havihitaji uchawi ni wewe tu kuji behave vzuri, majjizo yenyewe ilimshinda tabia
Sent using Jamii Forums mobile app
Siwezi nsaidie kuziwekaa!!Mimi sijui namna ya kuwekaRay weka hizo voice notes basi.
Mahaba km yoteee![emoji108] [emoji108] [emoji5] [emoji108]Ray haya ni mahaba nangai. Penye ukweli kubali tu shoga angu
Acha kabisaa usiombe umpate mwanaume wa aina ile!yule mama kwa sasa tishio ni Missa tu maana Zari yuko mbali ataona rangi zote Missa ila dai akili hanaMbaya zaidii mwanaume hayuko upande wake ,nimeona diamond anaongea shit sijui misa anajisikiaje na ukute hapo misa anasingiziwa bora iwe kweli ,,siku zote nasema ukioata mpenzi au mume anaemsikiliza sana mama yake akawa kipofu kabisa haoni hata matatizo ya mama yake UTAPATA TABU SANAA
Sent using Jamii Forums mobile app
Mama diamond ndo mchawi wa kwanza kwa mwanawe anahakikisha dai hadumu na mwanaume yoyoteHivi unaona diamond ni wa kurogwa? Mama yake kila siku kushinda kwa waganga
Sent using Jamii Forums mobile app
Yule lokole nafikiri ni chakla yuleSasa hivi anauza mchele,ni punga mmoja tu hivi mbea kutuzidi hadi sisi humu
Sent using Jamii Forums mobile app
KabisaaMi najua diamond hayupo wa kumroga labda mama yaie mzazii niwaambieni
Sent using Jamii Forums mobile app
Mambo hayo ni yapi mfanyiwe hebu dadavua aisee.na nyie mtambue kuwa mwanaume makini anatakiwa afanyiwe mambo matano,hata iwe vipi hakuachi,watapiga fitna atarudi tu
Ukute hana hata time nao basi tu wameamua kumkomesha huyu Dada wa watuKuna clip kwa juma lokole Diamond katoa povu kama lote kwa Hamisa. Hamisa jamani si aendelee na maisha yake hii familia angeachana nayo si kwa kumzalilisha hivii