Hamisa Mobetto na wakwe zake washikana uchawi

Hamisa Mobetto na wakwe zake washikana uchawi

Uongo looh!duka kafungua mwenyewe!!!!hapo kupangiwa tuu!

Sent using Jamii Forums mobile app
Pesa kamapata wapi?
Diamond alivyokubali yaishe mahakamani alimpa lumpsum amount ya kupanga na biashara bibie akataka anunuliwe gorofa,akaambiwa basi tulia kwanza hapo,kodi ya miezi sita ikiisha watatafutana
 
kama ni uongo usimshauri akae kimya,mwambie atoke hadharani kupinga na kuwafikisha mahakamani Sandra na binti yake
Kuna taarifa kwamba Hamisa alianza juhudi za mapema ku pre empt situation kwa kutuma watu watangaze kuwa kuna interview ya sauti,anatakiwa mwenye kufanana sauti nae ili atumike kumchafua.
Ili asafishe jina anatakiwa akanushe na aende Tcra,yeye ni balozi wa mitandao.
Hakuna mwanaume mwenye akili timamu atamsogolea mwanamke mchawi
Nakazia!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Raynavero unampenda hamissa ila kwa hili hapana ungeongea ukweli khaaa!![emoji23][emoji23][emoji23]

Huyo ni hamissa kweli ....kabisa kwa hili awe mpole tu!

Halafu why hamisa akumng'ang'ania majizzo kama anavyomng'ang'ania Diamond?

Si angetulia kwa yule wa SBL kama Mond haeleweki?

Nilikua nampenda ila anachosha sana aisee mpaka unahisi anazaa ili awatumie watoto kiuchumi.

Sent using Jamii Forums mobile app
remember voice of wema na mbowe....voice zinatengenezwa tu......achana na izi drama za watafuta kiki mjini ili wasisahaulike
 
yani alishindwa kumloga majey anamloga mond familia yenyewe iyo ya shake well before use hamna atachoambulia,na kuna kipindi alilalamika mama mond anataka kummaliza yeye na mwanae
Hapo kwa majay huyo lulu alikutwa na hirizi zinapumua kabisaa!!!walizidiana tu ndumbaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli kabisa na pia uyo baby mama analoga ila ilo la voice note sijalipata vizuri,ivi inawezekanaje ukampgia mganga simu ukamwelezea shida zako zote bila kufika kilingeni mi siami labda kama alirekodiwa akiwa kwa maganga anaongea apo sawa otherwise wanamsingizia
Umeona ee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inawezekana ingawa wanasema hamissa alipewa no na shoga ake.

Ila Hamissa unakumbuka wakina cynthia walimtoa kwenye show after kukutwa nyumbani kwa cynthia anafanya dawa? Yaani issue zake hapigi mahesabu vizuri anakurupuka.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ulimuona.muogopeni mungu jamani maisha ya mitandaoni yasiwafanye muongee sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mhhhh jamani hivi Hamisa ana akili za kushikiwa ama?? au na yy wamemroga ili awe kama zezeta kwa huyo mond. Halafu ipo siku huyo mond atajuta na kukumbuka maneno yake machafu kwa mzazi mwenzie. Any way life goes on. Kuna ambaye alijua sakata la Bashite na vyeti feki lingeisha? kila kitu kina mwanzo na mwisho. Kama kuroga watu wanarogaaa kila kukicha wanasiasa na watu wakubwa na familia zao. Cha msingi Hamisa ajielewe aaache yote aanze upya hata kama atanyang'anywa kila kitu aanze upya. Umaarufu una harufu avumilie hiyo harufu
Hahaaaaa Hamisa unamjua siku si nyingi vijembe vitaanza akisha mvulia tena Domo
 
Back
Top Bottom