charty
JF-Expert Member
- Oct 28, 2013
- 7,460
- 5,992
Hivi kumbe watu wa Kigoma wanalogeka eh,hizi kiki za kisee zitaua watu mfyuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante kwa kuuliza hili swali maana mwenzio naona mauzauza na hawa malayaa wa mjini..! WanavyochambanaHuyo Juma Lokole mbona ni maarufu sana aisee (ana shughuli gani mjini)
Niombee aisei na mimi nisije kurogwa na mzigua kwakweli..Wanaume Mungu awasaidie
Hahahah..! Mimi nikajua ni mwanasheria na wakili msomi kama Msando kumbe chakula na tena bwabwa..[emoji125][emoji125]Sasa hivi anauza mchele,ni punga mmoja tu hivi mbea kutuzidi hadi sisi humu
Sent using Jamii Forums mobile app
Alikuwa ananengua bendi moja hivi nimesahau alikiwa anakata maunoHahahah..! Mimi nikajua ni mwanasheria na wakili msomi kama Msando kumbe chakula na tena bwabwa..[emoji125][emoji125]
Sent using Jamii Forums mobile app
Familia ya platnumz daah wamenisikitisha saaana ukisikiliza kwa makini ile voice note eti Hamissa anasema anamjua diamond miaka 10 iliyopita wakati hamisa ana miaka 23 kwahyo Hamisa kaanza kugongwa na mondi kipindi ana miaka 13 [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapo ndipo walipobugi
Sent from my iPhone using JamiiForums
Majizo wallet sio nzito kama chibudeRaynavero unampenda hamissa ila kwa hili hapana ungeongea ukweli khaaa!![emoji23][emoji23][emoji23]
Huyo ni hamissa kweli ....kabisa kwa hili awe mpole tu!
Halafu why hamisa akumng'ang'ania majizzo kama anavyomng'ang'ania Diamond?
Si angetulia kwa yule wa SBL kama Mond haeleweki?
Nilikua nampenda ila anachosha sana aisee mpaka unahisi anazaa ili awatumie watoto kiuchumi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo Juma Lokole mbona ni maarufu sana aisee (ana shughuli gani mjini)
Kigoma hatoki boy ndio nini unaniacha hapa[emoji1] [emoji1] [emoji1] mwishowe atakujaga kujiloga mwenyewe au amloge asiyelogeka apate majanga bure, aibu sana aisee loh
Sent using Jamii Forums mobile app
Huko wa Kigoma si mchezo walah mdada mzuri alirisk kwenda kuzaa na mswahili
Why kujidogolisha hvoHivi hujui madada wa mjini kwa kujidogodesha miaka ya kuzaliwa kiukweli ni 28 mwaka huu ila maisha ya insta ni 24 anatasema muhusika
Utauliza nimejuaje ila classmate wake ambae walijiingiza kwenye modelling yuko umri huo na walisoma tangu form 1
Ni nzito ndio mana unaona kinadada wanapambana nae,bongo movie,mamiss sasahivi ataanza kuchukua mama zake
Wadada wanampendea umaarufu wake tu hapo ili waonekane na wao wapate kiki wewe hujui akili za ma slay Queens huko IGNi nzito ndio mana unaona kinadada wanapambana nae,bongo movie,mamiss sasahivi ataanza kuchukua mama zake
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni Shoga maarufu mjini Daslam , ana ukaribu sana na familia ya kina Diamond hasa dada ake Esma.
Sasa kama walisikia wema kahongwa murano unategemea wasimtake,istoshe kwa umri wake anauwezo mkubwa sio rahisi age hiyo kua na uwezo mkubwa labda uwe mpigaji kama ndama etcWadada wanampendea umaarufu wake tu hapo ili waonekane na wao wapate kiki wewe hujui akili za ma slay Queens huko IG
Sent using Jamii Forums mobile app
Madhara wanashindana kwa waganga wanawake bwana tunapendaga kudaganyika aisee, huwezi kumkeep man kwa ushirikinaSasa kama walisikia wema kahongwa murano unategemea wasimtake,istoshe kwa umri wake anauwezo mkubwa sio rahisi age hiyo kua na uwezo mkubwa labda uwe mpigaji kama ndama etc
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Aisee acha tu kuna ya kulishwa maji ya maiti hiyo from kondoa/singida huyo mwanaume haachii labda huyo maiti afufuke