Hamisa Mobetto na wakwe zake washikana uchawi

Issue ya missa kumsema kwa malika ilimuuma mnoo...na missa ana bahati mbaya ya kurekodiwa ila hakomi.

Ila ka hamissa kanafki ka chini chini sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mwaka nimeenda tanga, wilaya ya handeni , kijiji kimoja nimekihifadhi jina.

Nilikutana na wasanii wa Bongo flavour wakubwa wakiwa kwa waganga wa Jadi. Sio siri. Nilipata kuuliza mwenyeji wangu sikuamini niliyoambiwa. Mpka Leo nilijiapiza sitakuja kumuamini binadamu yoyote kutokana na kumkuta msanii ambae sikutarajia ningemkuta kwenye mazingira Yale.

Huyo msanii kwa sasa amehamia kwa Trump na aliooa wale mabinti kutoka kwa uncle kagame. SIKUAMINI JAMANI.

Mwenyewe sijaamini kabisa [emoji15] .....Km na huyo anaenda basi hakuna msanii asiyeenda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mwaka nimeenda tanga, wilaya ya handeni , kijiji kimoja nimekihifadhi jina.

Nilikutana na wasanii wa Bongo flavour wakubwa wakiwa kwa waganga wa Jadi. Sio siri. Nilipata kuuliza mwenyeji wangu sikuamini niliyoambiwa. Mpka Leo nilijiapiza sitakuja kumuamini binadamu yoyote kutokana na kumkuta msanii ambae sikutarajia ningemkuta kwenye mazingira Yale.

Huyo msanii kwa sasa amehamia kwa Trump na aliooa wale mabinti kutoka kwa uncle kagame. SIKUAMINI JAMANI.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwamsisi

Duh! Mbona nahisi kama unamsingizia huyo msanii.
 
Ila wanaume kuweni makini, mnarogwa sana aisee... Imagine una michepuko kadhaa na yote inawaendea kwa wazee wa busara.
 
Naomba niroge basi na mimi jamani..! Maana wengine haturogeki mpk tunatamani..

Sent using Jamii Forums mobile app
Nipe sababu ya kukuroga kwanza. Sitaki kuchuma dhambi isiyo na faida hapa duniani.
Misa analoga sababu anatafuta kununuliwa nyumba... Mi namshukuru Mungu najua kuitafuta pesa tena kuliko hata baadhi ya wanaume. Sihitaji kujengewa nyumba wala kununuliwa RAV4. So far sina sababu ya kuroga mtu.
 
Ah..km ni mate kuna wananzengo hku uraiani wanatema mate vbaya mno kinachowavuruga lile jina tu na mafanikio mbona hawaji kumng'ang'ania swahiba wng urasa hp?

Sent using Jamii Forums mobile app
Tofautisha kutemea mate na kung'ata meno
sio kila mtema mate anajua!ile ni fani kaka unatakiwa uwe kama kibogoyooo
 
Nipe sababu ya kukuroga kwanza. Sitaki kuchuma dhambi isiyo na faida hapa duniani.
Misa analoga sababu anatafuta kununuliwa nyumba... Mi namshukuru Mungu najua kuitafuta pesa tena kuliko hata baadhi ya wanaume. Sihitaji kujengewa nyumba wala kununuliwa RAV4. So far sina sababu ya kuroga mtu.
kuna watu wanawake mna confidence mpaka ardhi inatetemeka!
 
Back
Top Bottom