Hamisa Mobetto na wakwe zake washikana uchawi

Hamisa Mobetto na wakwe zake washikana uchawi

Kwanini huyo mganga asijitokeze mbele ya vyombo vya habari akahojiwa tukamfahamu, hiyo clip inatakiwa iwe collaborated na mahojiano ya mganga ili watu wamfuatilie kama amepangwa itajulikana mapema au atajwe jina ili waandishi wamfuate kumuhoji lakini hivi hivi ni ngumu mtu kusikiliza clip na kuamini wakati kuna mafundi wa kuigiza sauti ukiwalipa tu ni dk sifuri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wenzangu mnatumia instagram ipi?! Mm kwangu sionagi kbs hizi mambo....hongereni
 
Sio hamisa yule yaani kama wanasema kapewa namba na shoga ake jiulize mama mobeto alimjuaje kama kapewa namba!

Kingine kama mganga wake kwa nini aulize jina
Sawa hamisa kafulia ndo ashindwe kumpa mganga pesa yake kwa wakati!uongo mtupuu!

Nimegoma kuamini

Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhani mganga aletwe athibitishe hii movie kuiprove au kuidisaprove ni rahisi sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole yake hiyo trend kwenda kwa waganga wasichana imeshamiri
Ila najuwa shoga mpango wa kuleta twins bado unao
 
Ungeweka audio kwa post yako namba moja watu wasikie ambao bado waamue kama ni yeye au sio na kama sio yeye kwanini mtu ndio aongelee kiundani kihivyo ili iweje..

Huu uzi nimeishia page ya kwanza napita..
 
Inawezekana ingawa wanasema hamissa alipewa no na shoga ake.

Ila Hamissa unakumbuka wakina cynthia walimtoa kwenye show after kukutwa nyumbani kwa cynthia anafanya dawa? Yaani issue zake hapigi mahesabu vizuri anakurupuka.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kile kidada kinaonekanaga kijinga tu hata kikiwa kinaongea! Afuu kinapenda mambo makubwa balaa!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanini huyo mganga asijitokeze mbele ya vyombo vya habari akahojiwa tukamfahamu, hiyo clip inatakiwa iwe collaborated na mahojiano ya mganga ili watu wamfuatilie kama amepangwa itajulikana mapema au atajwe jina ili waandishi wamfuate kumuhoji lakini hivi hivi ni ngumu mtu kusikiliza clip na kuamini wakati kuna mafundi wa kuigiza sauti ukiwalipa tu ni dk sifuri.

Sent using Jamii Forums mobile app
Watu huwa wanapenda kuhukumu moja kwa moja sijui kwanini watanzania tunapenda kuhukumu na kujiona watakatifu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakuona mama wa ubuyu,yaani matukio kama haya ndo huwa nakuona [emoji16]

Sijazipata maa
Hahahaa we nae mpana km pazia la sinema, hizi habari hata Numbi atakuwa keshazipata.
Actually huu ubuyu niliusikia kitambo ila leo jioni baada ya mihangaiko nikasema niende mtaa wa pili kule ndio nikakuta hali si shwari.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahaa we nae mpana km pazia la sinema, hizi habari hata Numbi atakuwa keshazipata.
Actually huu ubuyu niliusikia kitambo ila leo jioni baada ya mihangaiko nikasema niende mtaa wa pili kule ndio nikakuta hali si shwari.

Sent using Jamii Forums mobile app
Yule kashaupata huu,hujamuona huko juu?
Kuna siku alileta kitu kama hii kule home.

Sema maisha ya mjini bhana,ngoja nikatafute hizo voice notes kwanza.
 
Familia ya platnumz daah wamenisikitisha saaana ukisikiliza kwa makini ile voice note eti Hamissa anasema anamjua diamond miaka 10 iliyopita wakati hamisa ana miaka 23 kwahyo Hamisa kaanza kugongwa na mondi kipindi ana miaka 13 [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapo ndipo walipobugi

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom